Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wakurugenzi..!
Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika .

Hilo swala la kulipa vifurushi naona kama kampuni hazipati faida kubwa na pia zinakuwa hazina wateja wa kudumu.

Mkataba pia utasaidia kuwapo na haki na usawa kati ya mtumiaji na kampuni husika.
 
Utakua unabawasili wewe si bure
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Umelewa?
 
Mkuu kuna post paid services,
Ukiwa vzr wacheki wakuunge huko, service yao iko bomba sana
 
Unawalipaje labda? Kama maden ya nipige tafu na songesha kuna watu wanayakwepa je hizo kodi ndio watalipa?
Nchi nyingi zilizoendelea wanatumia mfumo wa kodi sio huu utaratibu wa kijinga wa kuuziana vifurushi visivyoeleweka kila siku watu wanalia.

Tutawalipa mwisho wa mwaka au baada ya miezi ambayo mteja anakubaliana na kampuni ,yaani kama tunavyolipa kodi .
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa

Mwanaume kusema sema uwiiii uwiiii ni dalili na mchele mchele
 
mbona ipo kitambo tu post paid
Kama postpaid ipo kwa nn wang'ang'ane na kuuza vifurushi,postpaid inayotakiwa ni ya watumiaji wote wa simu nchi nzima sio hi ya kibaguzi.

Mfumo wa vifurushi uondolewe nchi nzima tuwe katika mfumo wa postpaid ndio nchi nyingine wanavyofanya na ndio nachozungumzia.
 
Back
Top Bottom