Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki.
1. Samsung-Korea Kusini
2. Tecno-China
3. Huawei-China
4. Lenovo-Hongkong
5. Nokia-Finland
6. Blackberry-Canada
Tupieni nyingine
Wadau polen na majukum
Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu
Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake
Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza
KARIBU MTU KANYE
TUJITETEE.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum,
Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Habarini , naamini kichwa kinajieleza.
Kwa upande wangu katika vitu vinavyokera hiki ni kimoja wapo. Ushawahi kumpigia mtu simu( MTU wako wa karibu ) halafu akakuuliza we nani, na mlikuwa na mawasiliano kabla. Kwanza najiuliza namba yangu alifuta au ndo dharau.
Nb :Huwa nakataga simu naendelea...
Habarini wana jamvi.
Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.
Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.
Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.
Nb...
Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo.
Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
Katika maisha yangu simu ya kwanza kununua ni Siemens kidole mwaka 2007 mkononi. Sikuwa na matumizi sana wala maana yeyote kwangu.
Miaka kabla ya android kuwa maarufu na kuenea TZ ulikuwa unanunua simu kwa kuulizia vitu mfano ina radio? Au ina bluetooth, memory card n.k.
2010 nikanunua nokia...
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.
Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko.
Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni.
Habari zimeendelea kujili jioni ya...
Mara kadhaa kaka akinipigia ananiambia mbona namba yako kuna mtu huwa anapokea.Basi nikawa napuuzia kuwa labda huwa anakosea. Ni line ambayo ina zaidi ya miaka 8 na nimesajili kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.
Basi juzi juzi jamaa mwingine ananiambia mbona namba yako kuna mtu mwingine anapokea...
Biashara hazijawahi kuisha chini ya jua ni vile tu unavyoamua kuchukulia mambo na kujichukulia wewe upo vipi,leo nataka nimsaidie mtu mmoja mahali flani kuichambua hii biashara ili kama alikua akiwaza nini chakufanya na hapati apate pakuanzia,na kwa wanaoifanya basi waboreshe ili mwisho wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.