Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini.
Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia.
Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
Habar wadau !!
Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu
Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku
Nifanyaje
NOTE sitak purchase plan...
Habari 👋🏾
Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima
Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike;
Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050
Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali.
Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa...
Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana.
SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Chanzo: Swahili times
Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua
1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana teknologia ya kutosha. Rais Samia akasema sasa tulivyo andikisha simu kwa vidole ilikuwa na maana gani? swali...
Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space.
Ikizingatiwa sijaweka vitu vingi vya kuifanya ijae. Sasa ninashindwa kuelewa iwapo hii simu ni fake...
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila...
Habari za asubuhi wana JF,
Ni siku nyingine tena basi tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu endapo amekupa kibali cha kuiona tena siku ya leo.
Nina jambo nahitaji kushirikiana nanyi kwa mawazo katika kukumbushana pia kwani nimeliona mara nyingi kwa watu wa karibu na hata kunikuta mimi...
Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania.
Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
Habarini wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.