Msaada: Nimefuta status WhatsApp lakini wana bado wanaiona kwenye simu zao

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,485
34,788
Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha kushangaza Wana bado wakawa wanaiona na wanareply, imeniletea majanga Sana hii issue.

Msaada wakuu
 
Cheki iyo screenshot utaelewa
Screenshot_20210504-125125_YoWhatsApp.jpg
 
Zipo nyingi sema kwa watu wananizunguka wanapendelea GB whatsap, whatsap plus, FM whatsap, YO whatsap n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom