simu

  1. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

    Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye. Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
  2. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna nini mpaka siku hizi ndugu hatutembeleani?

    Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au? Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena. Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k Lakini siku hizi hii kitu haipo Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
  6. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri. Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata Dar. Asanteni.
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta status WhatsApp lakini wana bado wanaiona kwenye simu zao

    Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha kushangaza Wana bado wakawa wanaiona na wanareply, imeniletea majanga Sana hii issue. Msaada wakuu
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

    Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya atengeneza vazi linaloweza kuchaji simu

    Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa...... Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights. He was taking an electrical...
  10. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Kutana na DEEJAY(dj) maarufu Duniani anayetumia Simu ku mix Muziki na matangazo

  11. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

    Habari wakuu Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh. Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama...
  12. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu specifications za simu

    Habarini wakuu. Nimeibiwa simu yangu hivyo uamuzi niliochukua ni kutafuta nyingine kwani kuifatilia iliyopotea naona nitapoteza muda mwingi na hela nyingi... Nimeamua kutafuta simu nyingine ambayo bajeti yake haizidi 350k. Katika pitapita zangu mtandaoni nimevutiwa na VIVO Y20 ambayo...
  13. Lager

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

    Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever. Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu...
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuifundisha Google Assistant kutamka majina kwenye simu yako

    Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
  15. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Samsung Galaxy TAB S2

    Ipo katika hali nzuri kabisa Ram gb 3 Storage 32gb Simcard & memory card 250,000 Nipigie humu 0715 378899, napatikana Kariakoo
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu hivi vifaa vya kukuza screen ya simu

    Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  18. Mr Bundi

    JamiiForums Tanzania Siku gani ulipokea simu nyingi zaidi katika historia ya maisha yako?

    Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa. Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

    Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
Back
Top Bottom