simba

  1. sekulu

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
  2. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Simba yatinga hatua ya makundi

    Mchezo wa michuano ya Klabu bingwa barani Afrika umepigwa hii leo katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba alikua nyumbani akiikaribisha FC Platinum ya Zimbabwe ikiwa ni mchezo wa pili kati ya michezo miwili ya hatua ya mtoano. Mechi hiyo ambayo...
  3. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?

    Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?
  4. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda 3:0 dhidi ya Fc platinum

    Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
  5. N

    JamiiForums Tanzania Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo. Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa Gadiel na amekuchukua namba zao. Simba kocha aache kukariri

    Wakuu, Ujue watu wamejiuliza sana kwanini wachezaji wazuri walipokuwa team zao kila wakienda Simba wanazikwa? Gadiel wakati yupo yanga alimpokonya mpka Tshabalala namba national team alikuwa first choice na afcon alicheza mechi zote mpka wakati kuwania kwenda huko. Lakini toka aje simba...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba wamechoka

    Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi. Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango...
  8. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Video: Nyati wamkanyaga kanyaga Simba na kumuua

    Nyati si mchazo Duh, ... Hii ni Kruger National Park, AK !
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kijo Bisimba, Ananilea Nkya, Lissu na Fatma Karume taasisi mlizoongoza zinakufa mkiangalia?

    Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua. Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GOR MAHIA EYE SIMBA SC’S MATOLA AS OLIVEIRA SUCCESSOR

    Simba SC assistant head coach Selemani Matola has been reportedly linked with a move to Football Kenya Federation Premier League side Gor Mahia. Gor Mahia have been without a coach since Roberto Oliveira left last week after Caf and the FKF stated he was not eligible to oversee K’Ogalo in...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Simba, Azam na Yanga kuna hela

    Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo. Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi...
  12. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

    Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita. Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

    Wakuuu Habari za wkend, Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk. Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...
  14. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

    Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

    Kichuya aliruhisiwa vipi na TFF kuichezea Simba bila taratibu za uhamisho kukamilika?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  17. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Je, nina haki gani katika hili jambo wana JF?

    Habari za majukumu wana JF! naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya. Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza. niliiamini sana hio sms ya vodacom...
  18. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Kwanini kocha wa SIMBA anakua mzito kumuingiza Medie Kagere

    Tuliongalia game ya Leo, Simba dhidi ya Plateau ya Nigeria, tunashangaa kuona kwanini Kocha ameona kabisa watu hawa wawili, Boko na Mzamiru wamecheza fyongo lakini anakua mzito sana kufanya maamuzi ya kumtoa haswa Boko na kumuingiza Medie Kagere Tunajua MK 14 uwezo wake mkubwa wa kuona nyavu na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

    Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere! Povu ruksa!
Back
Top Bottom