Wasalaam
Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga
Mpelekeeni...
Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti wao rais Magufuli ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho.
Tunategemea tamko la Uongozi wa...
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.
Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa..
Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu mfano ..viongozi wa kidini, kisiasa, kielimu nk. wasanii, waburudishaji, watu wa media, social...
Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi.
Kwa bahati mbaya kabisa Mpira wa miguu hasa timu za Simba na yanga uhusishwa Sana na siasa.
Ingawa haijulikani...
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
1. USHIRIKINA
Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na hata kwa 99% Matokeo ya Mechi zao huamuliwa na 'Majini' tupu na siyo Makocha, Wachezaji au Waamuzi...
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba
1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja...
Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini.
Yanga bwanaa
Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino.
Natamani kuona vilabu vyetu...
Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha...
Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.
Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje?
TFF waliliangalia hili, angalau wao utopolo wachezaji wao hawahitajiki huko kwao hata shikalo hahitajiki tena Harambee stars.
Hata yule...
Ndugu salaam....
Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali.
Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI.
>>Huyu...
Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu ya Simba huwa tunapewa 'Matokeo' haraka sana. Kwa mujibu wa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Dauda...
Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.
Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.