simba

  1. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

    Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents". Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina Hans Pope za usajili wa makelele mengi...
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga tuna la kujivunza kutokana na mafanikio ya timu ya Simba

    Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Simba jana dhidi ya Vita Club umewapeleka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Hakika wanastahili pongezi kwa mafanikio hayo Watani zetu wametufundisha jambo kubwa sana, ili kuweza kufanikiwa tunahitaji uwekezaji wa fedha, akili, muda...
  3. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kwenda zambia kuishangilia Simvba SC pitia hapa

  4. CONVERGENT LIMIT

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji fuel dispenser na spear zake tukutane hapa

    Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum. KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta. Fuel dispenser zetu ni: Type: Tokheim changlong Flow rate...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mimi Nikipewa Yanga au Simba tunasumbua sana Champions League kwa style ya Enyimba, Mamelodi Sundows, Diamond Platnumz

    Habari wadau, binafsi ni mshabiki wa yanga miaka mingi. Simba ni watani wangu japo tabia zetu zinafanana ndio maana tunaishia kushindana wenyewe kwa wenyewe mchangani huku Natamani sana kabla sijafa nije nione mechi ya simba na yanga ambayo sio ya ligi kuu wala kombe lolote local natamani...
Back
Top Bottom