Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

Mazaya

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
701
1,000
Kuna watu mpira wanaipenda lakini wao hauwapendi, ni pamoja na mleta mada!!!

Ulitaka TFF wafanye nini wakati vibali vya kuitumikia Simba kutoka Misri na FIFA vilitolewa?

Kama unaweza kuwa na kumbukumbu Konde boy na Kichuya walichelewa sana kuanza kuitumikia Simba hizi ni kwasababu vibali vya FIFA vilikuwa bado!

Lakini baadaye vilipatikana na Cha Kichuya kilikuwa Provisional
 
Mazaya

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
701
1,000
Kwanini mikia ipigwe faini ya m 300 na ikiwa mlikamilisha taratibu zote?
Nilikuwa namjibu huyo anayewalaumu TFF maana kwa hapo hawahusiki! Wao walifanyia kazi vibali kutoka Misri na kile cha Provisional KUTOKA FIFA.

Khs kwanini Simba wamelimwa mia 3, ni kutokana na taratibu za usajili imeonekana Kichuya ni kama alitoroka kwa Mwajiri wake hakupewa mkono wa kwaheri kabla ya kurudi Simba!

Inamaana hapa kuna uzembe kwa viongozi wa Simba walifanya na Kichuya naye alikosa proffesionalism lbd hana msimamizi makini!

Mwisho kabisa shirikisho la Misri nalo lilituingiza kibra.

Ila yote kwa yote uongozi wa Simba wanatakiwa wajitathimini kwa hili!
 
Akwota

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
724
1,000
Walienda hadi WHO
,sasa mkuu WHO na mpira wap na wap,but tujue tu kwamba kuna madhaifu ndan ya shirikisho letu,na kama kesi ya Morrison Yanga walienda mbele zaidi na may be wakafankiwa kushinda,basi jua kwamba vilevile ndan ya Simba kuna madhaifu ndan ya uongozi/kufanya vitu kwa kukurupuka kama njiwa kwenye mabanda yao!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,554
2,000
Nilikuwa namjibu huyo anayewalaumu TFF maana kwa hapo hawahusiki! Wao walifanyia kazi vibali kutoka Misri na kile cha Provisional KUTOKA FIFA.

Khs kwanini Simba wamelimwa mia 3, ni kutokana na taratibu za usajili imeonekana Kichuya ni kama alitoroka kwa Mwajiri wake hakupewa mkono wa kwaheri kabla ya kurudi Simba!

Inamaana hapa kuna uzembe kwa viongozi wa Simba walifanya na Kichuya naye alikosa proffesionalism lbd hana msimamizi makini!

Mwisho kabisa shirikisho la Misri nalo lilituingiza kibra.

Ila yote kwa yote uongozi wa Simba wanatakiwa wajitathimini kwa hili!
Mmeadhibiwa kwa sababu ya janja janja,adhabu mtakayoipata kwa morison inaweza kuwa kubwa kuliko hii ya kichuya,nyie idharauni tu kesi ya morison
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom