CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,180 Jan 3, 2021 #1 Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
synthesizere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2019 Posts 882 Reaction score 1,281 Jan 3, 2021 #2 Sawa asante kwa taarifa
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,073 Jan 3, 2021 #3 Ukweli mtupu.
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,395 Reaction score 27,172 Jan 3, 2021 #4 atashinda njaa
nankumene JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 7,408 Reaction score 8,223 Jan 3, 2021 #5 simba atafunga siku TATU BILA kula
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,881 Reaction score 5,022 Jan 3, 2021 #6 Allan Clement said: Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game Click to expand... mnajifariki! Safari yenu inaishia Januari 06, 2021! Dua zangu nazipeleka kwa Namungo!
Allan Clement said: Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game Click to expand... mnajifariki! Safari yenu inaishia Januari 06, 2021! Dua zangu nazipeleka kwa Namungo!
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,622 Reaction score 25,621 Jan 3, 2021 #7 Unapoweka utabiri wako jitahidi kutuambia 1. Chanzo cha Taarifa ni Mizimu uchawi maombi ama ni nini. 2. si Vibaya ukituambia hao wafungaji wa Magoli kwa upande wa Simba. 3. Je ni mchezaji Gani wa Simba atakayekuwa Mchezaji bora wa mchezo husika. 4. je mpinzani ataibuka na magoli mangapi. 5 UTABIRI WAKO HAUNA NYAMA.
Unapoweka utabiri wako jitahidi kutuambia 1. Chanzo cha Taarifa ni Mizimu uchawi maombi ama ni nini. 2. si Vibaya ukituambia hao wafungaji wa Magoli kwa upande wa Simba. 3. Je ni mchezaji Gani wa Simba atakayekuwa Mchezaji bora wa mchezo husika. 4. je mpinzani ataibuka na magoli mangapi. 5 UTABIRI WAKO HAUNA NYAMA.