Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia.
Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
CEO wa Simba SC Barbara (Babra) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa leo Jumapili tarehe 29 Desemba 2020 uonyeshwe Mubashara na Azam TV lakini imeshindikana kwa Umafia na...
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM.
Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka.
Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' tena ukimtia Ndimu kabisa ( ukimchochea ) kuwa katika Mechi ya Leo dhidi ya Yanga SC apambane na...
Simba SC
Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi kwake.
Kaseja Juma kwa sasa hiv hachezi mpira kuwavutia watu tena anacheza mpira kuwafundisha watu...
Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini
1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9
Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga...
1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Wawa
6.Nyoni
7.Miquisonne
8.mkude
9.Bocco/Kagere/Mugalu
10.Chama
11.Morisson
Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.
- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.
-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa...
Kiingereza
Tanzania's Giant Club and VPL Champions Simba SC have lined up Kaiser Chiefs and Kenyan international midfielder Anthony Teddy Akumu as the perfect replacement of Brazilian Gérson Fraga Vieira who was ruled out of the season after sustaining an injury.
The Tanzania champions are...
Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.
Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa...
Nakudodoshea hii
Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona.
Anayeijua zaidi atudondoshee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.