Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,201
4,673
Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
 

Attachments

  • FB_IMG_16074384045824972.jpg
    FB_IMG_16074384045824972.jpg
    22.9 KB · Views: 1
Ile kauli yake imetimia

lazima ajipatie mke ndani ya simba


ONGERA!
 
Simpendi huyu jamaa kwa kauli zake za kitoto.
Huyu mke lazima atakua mpenzi wa Ruvu JKT
 
Back
Top Bottom