Tulia wewe Utopolo mwandamiziMalalamiko fc
Nyie hamwoni mchango wa Bocco?#BringbackKagere
Nyie hamwoni mchango wa Bocco?#BringbackKagere
tunaujua na tunauona. ila pale asipoleta matokeo Kagere aingieNyie hamwoni mchango wa Bocco?
Kagere kumbuka alikua majeruhi na hajacheza mechi yoyote tokA arudi majeruhitunaujua na tunauona. ila pale asipoleta matokeo Kagere aingie
Alicheza mechi ya timu ya taifa ya kwao tofauti ya Kagere na Nyoni , Nyoni alipocheza timu ya taifa tulimwona na tukaona uwezo wake ila Kagere alipocheza timu ya taifa hatukuona mechi yake.Kagere kumbuka alikua majeruhi na hajacheza mechi yoyote tokA arudi majeruhi
Kiungo gani pale simba anamzidi mzamiru upande wa kuzuia mashambulizi.Huyu kocha inawezekana anafanya kazi kwa maelekezo ya senzo sio Kagere hata Kahata hampendi Nyoni alikuja kumuumbua alipocheza dhidi Tunisia.
Kwa uwezo wake tukipita na platinum tushukuru pale hamna kocha ni wachezaji wanambeba .
Hivi Dilunga na Mzamiru wana nini cha ziada.
Inabidi siku washabiki tuamue uongozi wa Simba utambue thamani yetu.
Nyinyi manyani ndio hamjui kitu Simba sio tu tunataka matokeo pia tunataka burudani kama matokeo ni mazuri au sio mazuri lazima tujadili viwango vya wachezaji wetu nyio mmezoea ushindi wa kqgoli kamoja bila kujali performance ya timu yenuMfumo wa kocha haumuhitaji kagere..mbumbumbu hamjui mpira..hata kwa kitu cha wazi kabisa.
We jadili timu yako ya simba hayakuhusuKiungo gani pale simba anamzidi mzamiru upande wa kuzuia mashambulizi.
Wenzako wako airport wanawasindikiza plateauKiungo gani pale simba anamzidi mzamiru upande wa kuzuia mashambulizi.
una uhakika?Kagere kumbuka alikua majeruhi na hajacheza mechi yoyote tokA arudi majeruhi
Mkuu tuheshimiane please.Wenzako wako airport wanawasindikiza plateau
Nyinyi manyani ndio hamjui kitu Simba sio tu tunataka matokeo pia tunataka burudani kama matokeo ni mazuri au sio mazuri lazima tujadili viwango vya wachezaji wetu nyio mmezoea ushindi wa kqgoli kamoja bila kujali performance ya timu yenu
Mkuu nimekutukana..? tuheshimiane sana. kama ulikua hutaki kunijibu unge kaa kimya tu.Wenzako wako airport wanawasindikiza plateau