Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.
Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa...
Nakudodoshea hii
Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona.
Anayeijua zaidi atudondoshee
Nimesikitika sana kama siyo mno Kumsikia leo mchana kupitia Kipindi cha Michezo cha Clouds FM Jumapili Mchana 'akiwashutumu' wazi wazi Wachezaji akina Clatous Chama, Luis Miquisonne na Larry Bwalwa kuwa Jana walicheza chini ya Kiwango na kwamba wanatakiwa 'Wahojiwe' kwani kuna uwezekano...
Walipo fungwa na Ruvu kiongozi wao alisikika akisema 'Simba ni klabu iliyo fanya usajili mkubwa haiwezekani inafungwa na katimu ka VPL.
jana tena huyo kiongozi anadai Simba ilistahili kushinda isipo kuwa kuna wachezaji wali ihujumu.
Napia hawa viongozi wamekuwa walalamishi sana kwa marefa...
Hii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha.
Viungo wa simba wamebaki jina tu pale wamebaki kuwa maaarufu wa kucheza na timu ndogo na kuzionesha umwamba utakutana...
Mungu buana sijui kwa nini ameliweka jambo hili namna hii..kwamba Yanga Imepata sare kwa penati.Achilia mbali issue ya penati ile kuwa ilikuwa halali au la.?....manusura ni ile penati...! Isingekuwa kwa hisani ya PENATI ile sasa tungekuwa tunaimba 'kalale pema peponi Kamanda' .Hata hivyo...
Kwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder
kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe alipopewa tuzo ya MOTM
WE UMEONA NINI?
Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji
Mzamiru Yasin na John Bocco
Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma lakini wengi wa mashabiki huwa hawataki kuwasikia.
Maoni yangu kwa mechi ya Leo alietua ni refa.
Japo...
Msidanganyike na asiwadanganye Mtu 85% ya Mechi ( Derbies ) za Simba SC na Yanga SC nchini huwa zinachezwa sana nje ( namaanisha Kishirikina ) 10% Kuhonga Wachezaji au Waamuzi na 5% ni Ufundi pekee kutoka kwa Makocha. Bahati nzuri ninaposema 'Uchawi' ni mwingi ninamaanisha kwani nimeshawahi...
Nimemsikia Kocha Mkuu Sven kuwa Wachezaji wetu muhimu, mahiri na tegemezi kabisa katika Kuamua 'Ushindi' Kiungo Clatous Chama na Washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu Kesho 'watakosekana' katika Mtanange wetu muhimu na Wapinzani wetu Yanga SC.
GENTAMYCINE nasema kama Kocha amesema haya...
First Eleven ya simba Vs Yanga hapo kesho November 2020.
1. Aishi Manula
2. Salum kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Pascal wawa.
5. Joash Onyango.
6. Jonas Mkude
7. Luis Misqueson
8 Muzamiru Yassin
9. John Boko
10. Chama Mwamba wa lussaka ccc
11. Kahata Nyambura.
Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar
Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0 ,ambapo magoli hayo yamefungwa na J.Bocco kwa mkwaju wa penati katika Dakika ya 42, na goli la pili...
Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache.
1. Wananchi kukosa wawakilishi wao bungeni. Wawakilishi kwa maaana ya watetezi wao, kwasababu wote waliopita kupitia CCM hawana ubavu au...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu.
Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa...
Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa.
Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi kubali matokeo kama haya mfurulizo, sasa wanaSimba tuzame kwenye mahesabu ili tuibue hizi wrong...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.