simba

  1. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Video: Nyati wamkanyaga kanyaga Simba na kumuua

    Nyati si mchazo Duh, ... Hii ni Kruger National Park, AK !
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kijo Bisimba, Ananilea Nkya, Lissu na Fatma Karume taasisi mlizoongoza zinakufa mkiangalia?

    Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua. Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GOR MAHIA EYE SIMBA SC’S MATOLA AS OLIVEIRA SUCCESSOR

    Simba SC assistant head coach Selemani Matola has been reportedly linked with a move to Football Kenya Federation Premier League side Gor Mahia. Gor Mahia have been without a coach since Roberto Oliveira left last week after Caf and the FKF stated he was not eligible to oversee K’Ogalo in...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Simba, Azam na Yanga kuna hela

    Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo. Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi...
  5. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

    Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita. Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

    Wakuuu Habari za wkend, Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk. Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...
  7. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

    Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

    Kichuya aliruhisiwa vipi na TFF kuichezea Simba bila taratibu za uhamisho kukamilika?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  10. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Je, nina haki gani katika hili jambo wana JF?

    Habari za majukumu wana JF! naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya. Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza. niliiamini sana hio sms ya vodacom...
  11. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Kwanini kocha wa SIMBA anakua mzito kumuingiza Medie Kagere

    Tuliongalia game ya Leo, Simba dhidi ya Plateau ya Nigeria, tunashangaa kuona kwanini Kocha ameona kabisa watu hawa wawili, Boko na Mzamiru wamecheza fyongo lakini anakua mzito sana kufanya maamuzi ya kumtoa haswa Boko na kumuingiza Medie Kagere Tunajua MK 14 uwezo wake mkubwa wa kuona nyavu na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

    Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere! Povu ruksa!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Uzalendo mashabiki wa Yanga kwenda kuwapokea washindani wa Simba kutoka Nigeria pale JNIA?

    Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo? Maendeleo hayana vyama!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa SIMBA "wachufukwa" na kitendo cha Kumualika Naibu Spika kama Mgeni Rasmi mechi dhidi ya Plateau..

    Nimejaribu kufuatilia mitandaoni leo hasa mara baada ya Club ya Simba "kupost" nani atakuwa mgeni rasmi mechi ya kesho dhidi ya Plateau ya Nigeria. Kwa mfano ukiangalia mtandao wa Club wa Facebook https://web.facebook.com/simbatanzania utaona ni jinsi gani wapenzi na washabiki wa Simba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CAF: Plateau United depart for Tanzania to face Simba SC

    By Polycarp Auta Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania. This is for the return leg of the first round of the preliminary fixtures of the CAF Champions League on Sunday. Mr Albert Dakup, the club’s Media...
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuelekea mchezo wa Simba na Plateu United

    Kuelekea mchezo wa Marudio kati ya simba na plateu ya Nigeria kombe la Klabu bingwa Afrika. 1. Aishi Manula. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Pascal Wawa. 5. Joash Onyango. 6. Erasto Nyoni. 7. Benard Morison. 8. Jonas Mkude. 9. John Boko. 10. Clotas Chama. 11. Lusi Misquison. SIMBA...
  17. waco1920

    JamiiForums Tanzania Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Goli la Clautus Chama, Plateau Vs Simba Sc

    Lilikuwa goli la kulazimisha na juhudi binafsi za Luis Jose
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kibao hiki cha 'WAAH' chake Mwana Simba Mwenzangu Diamond akimshirikisha Koffi nasema 'Shikamoo' mno tu Kwake

    Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya au utakuwa kati ya Team Kiba au Yule aliyetaka Kufa kwa Kuanguka kutoka katika Paa la Uwanja wa Mkapa...
Back
Top Bottom