shule

  1. D

    Natafuta shule bora za High school (ada chini ya 2 Milioni)

    Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million. Asanteni sana wakuu
  2. Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea! Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
  3. Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

    1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule. 2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni...
  4. K

    Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

    Naomba mnipe majibu jamani, Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?
  5. A

    DOKEZO Mtendaji Kata ya Malindi anakodisha eneo la shule kwa maslahi binafsi

    Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi. Maeneo mengine machache amewapa walimu wa shule hiyo ili wasimuulize juu ya eneo la shule...
  6. A

    DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa. Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
  7. P

    Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
  8. Mmiliki wa shule ya sekondari Elly's iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda baadhi ya majengo yako yanahifadhi wanafunzi watukutu wa shule jirani

    Salaam zangu zikufikie mmiliki wa shule ya Sekondari ELLY'S ILIYOPO halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara. Inafahamika wazi shule yako Ina wanafunzi wachache sana huku ikiwa na majengo mengi yasiyotumika. Majengo haya yasiyotumika imekuwa hifadhi kuu Kwa wanafunzi watukutu wa shule za...
  9. Ajifungua na kutupa kichanga maeneo ya Shule

    MWANAMKE ambaye hajafahamika jina lake na anayedaiwa kuwa ana ulemavu wa akili, amejifungua mtoto mchanga kisha kumtupa kwenye eneo la shule ya msingi Msali "A" iliyopo kijiji cha Ngararambe kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, huku baba wa mtoto huyo akiwa hajulikani...
  10. P

    Serikali ifanye lugha ya alama kuwa moja ya somo kwa shule za msingi

    Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Watu wanaotumia lugha hii ni wachache ukilinganisha na wengine tunaoweza kuwasiliana kwa sauti/maneno. Kutokana na hii, watu wenye ulemavu huu wa kusikia hupitia changamoto kubwa toka watoto mpaka ukubwa wao. Fikiria uko na mtoto mwenye changamoto...
  11. Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  12. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  13. D

    Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

    Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri. Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
  14. Wazazi mngejua adha wanazopata watoto wenu katika daladala mngetamani kuwahamisha shule za karibu

    Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu. Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
  15. A

    KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

    Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo. Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
  16. Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  17. Karibu mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo hapaHalmashauri ya mji wa Bunda...

    Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na wapambe ambao kwa lugha za siku hizi wanaitwa "machawa".Hawa ndio sumu kwa maeneo mengi ya makazini...
  18. Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
  19. Laila, jini aliyenifundisha mapenzi nikiwa shule

    Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi minne tu, na sikufanya mitihani ya mwisho. Kama mjuavyo akija mwanafunzi mgeni darasani watu...
  20. Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…