Shule Binafsi zimeonyesha unyonyaji wa hali ya juu kwa walimu wao katika kipindi hiki cha korona. Shule hizi hasa mkoa wa Kilimanjaro jimbo Katoliki Moshi, wamewafanyia unyama waalimu wao wachapakazi wanaochangia mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu kitaaluma, kwa kuwanyima mishahara waalimu wenye...
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo.
Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya...
Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada ya kusalimiana na kubadilishana namba nimemuacha aendelee na ratiba zake.
Nikaanza kukumbuka...
UTANGULIZI
Baada ya Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita watapaswa kurudi shule ili wakajiandae na mitihani yao ya mwisho inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kuanzia Juni 29 mpaka Julai 19, nimeona kuja na mawazo ambayo yatatoa mwongozo kwa namna wanafunzi, walimu na...
Habari za jioni.
Kizuri kula na wenzio.
Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6.
Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi.
Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amewataka wazazi wa watoto wa shule za msingi kujiandaa kwa kuwa shule nchini humo zitafunguliwa Juni 1
Boris amesisitiza kufungua shule za msingi japo shule nyingine hazitafunguliwa kwa kuwa vyama vya waalimu na wazazi bado hawana uhakika wa usalama kwa...
JF
Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo
Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa.
Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake.
Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri.
Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee.
Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo.
Sehemu...
Naona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea.
WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya...
Ilikuwa 2012 nikiwa kidato cha tano katika shule moja ya serikali hapa nchini. Ile shule ilikuwa ya boarding. Siku moja wakati natoka kwenye kipindi cha dini saa 2 usiku nilipopita getini na wenzangu 2 tukielekea mabwenini nikamuuliza mlinzi maswali ambayo yalimkwaza. Moja ya maswali hayo...
NBS Television @nbstv
Lockdown yapunguzwa makali.
1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na madereva wa kigeni.
2. Uganda kutengeneza kwa wingi sanitizer kutokana na waragi ( pombe kali ya...
Historia yangu ni ndefu kidogo ila nitaifupisha
Mwaka fulani baada ya vurugu za hapa na pale Geita Secondary, Butimba Day na Mwanza Sec nilitimuliwa, nikahamia Manguanjuki (Lake) iliyoko Singida kuanza kidato cha tatu.
Pale nilikuwa huru sana, nikawa na tumia hela hovyo hovyo bahati mbaya sana...
Rwanda imetangaza kufungulia biashara lakini imewataka wafanyabiashara kufuata hatua mambo yote ya kujilinda. Aidha masoko yatafunguliwa kwa 50% tu ya wafanya biashara waliosajiliwa. Na kusisitiza malipo ya kielektorinic kila inapowezekana
Usafiri wa umma utapakia watu watakaovaa barakoa tu...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma licha ya hofu ya usalama wa kiafya inayowakodolea macho wanafunzi kutokana na janga la virusi vya corona.
Rais Trump alitoa kauli hiyo katika mkutano wa njia ya simu kwa magavana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.