shule

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
  2. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule iliyopo kijijini nikajitolee sharti kuwe na umeme tu

    Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE. Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel. MAHITAJI YANGU Kijiji...
  3. mcbbrandog

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwepo kwa shule za vipaji nchini Tanzania

    Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu. Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo mfano tunabidi tuwe nashule za vitendo kwa watoto wetu wajao kwa kugundua vipaji vya watoto ili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani. Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  6. academiazSoft 0674050747

    JamiiForums Tanzania ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

    Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

    Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali. Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  9. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  11. mjingamimi

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni ukaguzi kwenye vyoo vya shule

    Habarini ndugu members? Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu. Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo. Sijajua kwanini uwa hamfanyi...
  12. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Vyeti visivyo na nguvu mbele ya five experience na umekaa shule miaka 17

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  13. Mastabata

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

    Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

    JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu? Naona hali hiyo pia ipo kwa...
  16. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Nani alikwenda shule kuchukua cheti chake akakuta amewekewa Deni ambalo halifahamu?

    Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
  17. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

    Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake. Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea. Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...
  18. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania AHMED ALLY SHULE UKAFUTE UJINGA

    AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4. Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba...
  19. jangoma

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
Back
Top Bottom