Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

Dhufayriy

New Member
Sep 26, 2023
1
0
Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo
Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri.

Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa zikiwaadhibu wanafunzi hao kwa kuwachapa viboko vikali na adhabu nyingine ikiwemo kuwalaza juani kwasababu hiyo.

Hata hivyo Baadhi ya wananchi wameripoti Baadhi ya matukio mengi kwa afisa elimu na Mkurugenzi lakini bado mambo hayo yamepuuzwa bila kufanyiwa kazi
 
Mwambie mwanao akomae na "tayi" bila review kama atatoboa.

Asikuja na review kesho tunamgonga mvua za Kijiji. Ya kiswahili lazima she nayo.
 
Back
Top Bottom