TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Morogoro, imemkamata na kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa shule, Suleiman Mwishehe kwa tuhuma za kujaribu kumhonga Afisa wa TAKUKURU kwa kutoa shilingi Milioni 3 ili asifikishwe mahakamani wakati wa uchunguzi kwa...
Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule anawachukulia walimu wake kama watoto. Kufika kazini ni saa 1 kamili, kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali balaa kuwaandikisha barua kila wakati.
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living aliyeshikiliwa kwa tuhuma za kuwashawishi Wazazi kutowapeleka Watoto shule kwa kile alichodai Yesu anakaribia kurudi.
Wiki moja iliyopita, Mkuu wa Wilaya ya...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.
Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
Anonymous
Thread
dhamana
kuzuia
kwenda
mbona
ndugu
polisi
shule
watoto
Niende tu kwenye mada salamu zenu.
Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi.
Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake.
Nimeona...
Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa.
Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa sababu alikuwa na pesa nyingi.
Baada ya majadiliano marefu (mwishowe, mteja ndiye mwenye haki)...
Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa.
Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua...
Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+.
Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
Habari wakulu.
Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora.
Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia kitaani kuhulsle hata kama hatapata best job ila apate kaelimu kamtoe tongo.
Ka uzungu akajue, vijana...
Mambo vipi wakuu?
Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7.
Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari?
Iwe na sifa zifuatazo:
-Chakula kizuri (muhimu sana)
-Mazingira (library, computer room etc.)
-Inafaulisha.
NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
Wanajamvi kwema
Moja kwa moja niende kwa mada.
Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi
“Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana”
Toa maoni yako na sababu.
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA:
Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024.
Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
Wakuu habari za uzima?
Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.
Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy.
Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu.
Mwenye ufahamu wa hili anijuze
Karibuni.
TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni.
Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.
Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa.
Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake.
Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira .
Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama .
Pita shule zilizopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.