shule

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  2. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  4. mjingamimi

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni ukaguzi kwenye vyoo vya shule

    Habarini ndugu members? Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu. Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo. Sijajua kwanini uwa hamfanyi...
  5. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Vyeti visivyo na nguvu mbele ya five experience na umekaa shule miaka 17

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  6. Mastabata

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

    Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
  7. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

    JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu? Naona hali hiyo pia ipo kwa...
  9. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Nani alikwenda shule kuchukua cheti chake akakuta amewekewa Deni ambalo halifahamu?

    Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
  10. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

    Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake. Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea. Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...
  11. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania AHMED ALLY SHULE UKAFUTE UJINGA

    AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4. Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba...
  12. jangoma

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  15. Boaz simon

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifumo simamizi ya shule

    Ndugu zangu , Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule. Nina mifumo ya simamizi ya shule ya aina mbili, ninayo school management system kwa upande wa secondary na kwa upande wa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  17. Omuzaile

    JamiiForums Tanzania Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KKKT punguzeni ada za shule zenu ni michango ya waumini

    Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo. Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama...
  20. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya ndoto ambazo huota ukiwa shuleni

    Habari Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo 1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako unavyoshambuliwa na nguvu za giza 2.Kadri changamoto zinavyokua nyingi shuleni ndivyo jinsi...
Back
Top Bottom