serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

    Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua. Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu. Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba abainisha mafanikio ya Serikali kwa Mwaka 2023 kupitia Utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameainisha mafanikio yaliyopatikana kwa Taifa kutokana na utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ushirikiano baina ya Tanzania na nchi...
  4. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kuwaacha watendaji wa mitaa au kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji

    Leo ninajambo hili,tabia ya kuwaacha watendaji wa mitaa au kata hata polisi wa kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji. Mfano unakuta mtendaji hayupo ofisini yupo kijiwe anapiga stori,kashfa ya wake au waume za watu.pia ktk hali hiyo hata kuchukuwa hatua...
  5. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  6. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali badilisheni kodi kwenye usafiri kwa manufaa ya umma

    Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri. Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili halijazingatia gharama za gari kama mikopo, registration , bima..... na mengineyo Haya ndiyo makadirio ya...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watoto wadogo kushirikishwa kwenye majukwaa ya wasanii

    Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi! Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ipo mbioni kugomea uchaguzi wa serikali za mtaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Katiba na muundo wa tume ya uchaguzi vyatajwa

    Baada ya CCM kuendelea kushikilia msimamo wao wa kuteua wasimamizi wa uchaguzi nchini; Chadema kipo mbioni kujitoa kwenye uchaguzi hadi pale tutakapokubali kuwa na tume huru. Kwa muundo wa vyama vya upinzani Tanzania ,chadema ikijitoa hakutakuwa na uchaguzi badala yake tutarudi kwenye bunge la...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Serikali yazindua Mfumo wa Kuwalinda Wawekezaji dhidi ya Vitendo vya Rushwa

    Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi. Taarifa ya Ikulu ya Uganda imesema...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

    Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi. Few...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kama Serikali imeshindwa Kuwadhibiti Wanawake wanaokata Mauno Madirishani katika DalaDala niruhusiwe Kuwadhibiti na hawatorudia tena

    Nina Dawa yao moja Mujarab kabisa ya kuwapa ambayo nina uhakika wa 100% kuwa si tu itawatia Adabu lakini hawatorudia tena na Watahimizama Dar es Salaam nzima Kuacha ili wasije kukutana na Mimi GENTAMYCINE ambayo nina PhD ya Kuadhibu na kutoa Adhabu tukuka na takatifu hasa kwa Wapuuzi, Washamba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KWENU SERIKALI: Adha ya usafiri kwa wakazi wanaotumia barabara ya Kimara - Bonyokwa itakwisha lini?

    Salam Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu sasa juu ya kero ya usafiri wa hii barabara. Kiuhalisia urefu wa barabara...
  17. M

    JamiiForums Tanzania "Chawa watu" ni watu Wachafu

    Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka. Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao. Jiwe hili limerushwa.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

    Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini. Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa. Wanadai wakiripoti...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
Back
Top Bottom