BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,120
SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024 kumeibua vurugu na maandamano ya Wananchi wanaopinga hatua hiyo pamoja na kukamatwa kwa baadhi ya Wagombea Urais wa Upinzani .
Licha ya hali hiyo, Bunge limeanza vikao vya kuidhinisha usitishwaji wa Uchaguzi pamoja na kuongeza muda wa miezi 6 kwa Rais kuendelea kuwa madarakani.
Umoja wa Afrika (AU) umeonesha wasiwasi wa kuongeza machafuko Nchini huko na hivyo kumtaka Rais Macky Sall kuitisha Uchaguzi Mkuu haraka iwezekanavyo.
========
Senegal’s parliament is meeting to consider the postponement of presidential elections announced by President Macky Sall, a move that has plunged the country into crisis.
Monday’s session is happening after a day of violent street protests in the capital Dakar – during which at least one senior opposition figure was arrested – and growing international concern.
Lawmakers are voting on a proposal to postpone the presidential poll – previously set for February 25 – for up to six months. The text before them will need the support of three-fifths of the 165-seat parliament to pass.
Sall’s announcement of a delay on Saturday has since set off a chain of events in the West African country.
On Sunday, the government ordered a private television broadcaster off the air for “incitement to violence” over its coverage of the protests, another sign of the mounting political tension in the country. There was also restriction of motorcycle movements in Dakar on Monday even as security has been reinforced in the capital.
The government also restricted internet connections in parts of the country, with a statement from the Ministry of Communication, Telecommunications and Digital Economy saying this was “due to the dissemination of several hateful and subversive messages relayed on social networks in the context of threats and disturbances to public order.”