serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Suala la bodaboda ni picha moja ya ukweli kuhusu udhaifu wa Serikali iliyokuwa madarakani kwenye kusimamia sheria na kujali Wananchi wake

    Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa: 1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa. 2. Police hawasimamishi bodaboda ata kwa ukaguzi wa leseni,kwa kuendesha mwendo wa kupitiliza, kwa kutosimama zebra...
  2. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

    Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda. Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  5. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo waitaka Serikali kusitisha Nauli mpya za Mabasi na Daladala, kushusha bei ya Sukari

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupunguza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi kwa kusitisha Nauli Mpya za Daladala na Mabasi zilizoanza kutumika Desemba 2023 pamoja na kushusha Bei ya Sukari inayolalamikiwa Nchi nzima. Kupitia taarifa yake, ACT Wazalendo kimesema kitendo cha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

    Hi GreatThinkers Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda. Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme. Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gari za serikali Sasa nimekuwa zikiendeshwa na waliolewa?

    Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mifumo yote ya TEHAMA Nchini iliyochini ya serikali haina mtandao na inasumbua; sekta binafsi hakuna changamoto. Serikali ipo salama?

    Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana. Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA inavyohujumiwa ndivyo wanasiasa na watoa maamuzi wanavyosukumwa kutafuta suluhu mpya Maana yake hapa tulipo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema vikundi 102 vya Wanawake vyenye wanufaika 875...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inashindwa nini kujikita kwenye mapinduzi ya kilimo na vifaa vyake

    Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani. wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio...
  17. Papasa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

    This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..." 2...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Serikali imeamua kufundisha somo la Uchambuzi wa Michezo, Kuna watu wamerogwa kule juu

    Yaani kweli hii ndo wanaona issue ya msingi kwa Watanzania? Hawa watu wanalipwaje hizi kodi kufanya mambo ya hovyo kama haya? 📍Bungeni,Dodoma ▪️SERIKALI KUANZISHA SOMO LA UCHAMBUZI WA MICHEZO VYUONI Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inakusudia kuanza kufundisha somo la...
Back
Top Bottom