Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika.

Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu

Aidha, ilionesha kuwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Pwani ndipo kuna tatizo ni kubwa.
 
Ugonjwa wa kurithi vina saba..

Unatibika kupitia bone marrow transplant.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naweza kutibu kwa tiba asili mgonjwa akapona kabisa tatizo hilo ni dawa ya kulamba kutwa mara 3, usisite kuwasiliana nami kupitia simu 0765682453
 
Back
Top Bottom