sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  2. JamiiForums Tanzania Mmechelewa sana 'Hima and Tutsi Empire' ni lazima Tanzania

    Hata hiki Kilichozungumzwa na Kamanda Wenu hivi majuzi ni mkakati Wetu wa Kimakusudi ili Kijulikane kisha mjitekenye na Watanzania wote nanyi muwe ni Wahima na Watutsi kwa Oparesheni Maalum kwa kusaidiwa na Wahima na Watutsi wengi walioko katika Taasisi zenu Kubwa, Muhimu, za Kimaamuzi na...
  3. JamiiForums Tanzania Morocco walitugonga 3- 0 kwa Mbinde sana. Leo Congo Watatugonga tena kwa Mbinde

    Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena pipe... Kitu... Waarabu hawa hapa. Cha pili Tunafuta heeeeh. Cha tatu. Waliweza ila si kirahisi rahisi...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia. ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara. Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii. Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  7. JamiiForums Tanzania Samatta ni mkubwa nje ya uwanja na kwenye vyombo vya Habari lakini ndani ya uwanja ni mdogo Sana

    Kwema wakuu! Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake. Ukisikia matangazo ya kwenye Luninga na Redioni kumhusu Samatta amejengwa kwa namna ya mtu fulani...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: 50 cent apungua uzito, amekonda sana

    Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni. Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake uzito kumeibua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki kuhusu muonekano wake huo mpya. ANGALIA PICHA...
  9. JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimepita sehemu nikakuta watu wanaomba Mungu kukemea mvua isinyeshe! Nimewashangaa sana

    Nimewaza sana leo! Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu! Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo! Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
  11. JamiiForums Tanzania Usalama wa Nchi ni jambo tukufu na kipekee sana. Tusibweteke na kumpongeza CDF pekee

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

    Wadau salaam. Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi. Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao. Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

    Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
  14. JamiiForums Tanzania Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza" Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole. Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  16. JamiiForums Tanzania Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  17. JamiiForums Tanzania Congo DR. Vilaza sana... Watachapwa leo mpaka wachakae....

    Sioni wanachocheza kiuhalisia.... Hamna team hapa. Huwa nashangaa wanavyoogopwa huku kwetu. Leo Morocco tunajipigia.
  18. JamiiForums Tanzania Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Eneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi! Kwenu hali ikoje? ======
  19. JamiiForums Tanzania Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja. Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki. Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka Mara ya mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…