Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,139
25,415
Leo Jumatano 24.01.2024.

Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania

Kikosi cha Tanzania
20240124_221217.jpg


Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo

Mpira Umeanza...
Tanzania ndio tumeanza ball hapa.

Dakika ya 5
Tanzania 0-0 DR Congo.

Dakika ya 10
Tanzania 0-0 DR Congo.
Tunaupiga mwingi

Dakika ya 28
Mayele kakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 30
Kona DRC wanapata Kona

Dakika ya 45
imeongezwa Moja hapa ya niongeza

Screenshot_20240124-221927.jpg
20240124_234646.jpg

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika ya 58 tunashambulia sana tunakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 60
DR Congo wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 67 congo wanafanya mabadiliko ya wachezi 2 mayele anakwenda nje bakambu anaingia

Dakika ya 71
bado ni 0-0
Tanzania tunafanya mabadiliko anatoka himidi mao anaingia mzamiru yasini

Dakika ya 72
DR Congo wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 76
Samatta kachezewa rafu tunaupiga mwingi sana hapa

Dakika ya 77
Congo wamekosa goal la wazi manula katoa mpira wa hatari sana nusu uingie kambani

Dakika ya 78
Feisal Out Kibu In

Dakika ya 81
Bado ni 0-0

Dakika ya 84
DR Congo wanakosa goli la wazi wissa anapaisha mpira

Dakika ya 85
Tanzania tunafanya mabadiliko anatoka msuva na samatta anaingia Charles muhombwa na morice Abraham

Dakika ya 88
Tumekosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90 zimeongezwa dakika 4 za niongeza
20240125_005619.jpg
 
Back
Top Bottom