Wadau salaam.
Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi.
Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao.
Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla unashangaa bei imepanda zaidi ya asilimia mia moja. Kulikoni.
Kuna shida gani huko kwenye viwanda..!!!?
Wadau hebu saidieni hii bei inaweza ruka tena hadi 25,000/=
Hizi ni ream za karatasi 500 kwa bando moja ambazo zinatumika sana mashuleni.