Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana,
Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha.

Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa alichosema Kocha wa Nchi, Baba wa soka anaefanyiwa zengwa.

Amrouche Aombwe Msamaha na CAF Pamoja Na TFF kwa pamoja.
Na wale wote waliomsema vibaya wote hapa Jamii Forum waombe Radhi kabisa.

Morroco Hakuna Team narudi hakuna Team anabebwa na Marefa na viongozi wenye ngozi Nyeusi ambao wana Njaaa sana na wanaogopa Ngozi Nyeupe.

AMROUCHE BABA WA SOKA LA TANZANIA ILA MFUTEN HAMTOKUJA KUPATA KOCHA MSEMA UKWELI KAMA HUYU,

1:KASEMA UKWELI TUMEENDA KUJIFUNZA MMEMIND, JE MUNAUWEZ MZIKI WA CONGO HUU?

2:KASEMQ MORROCO INABEBWA MMEMIND JE HAMUONI KUANZIA GAME YETU KAKATAA KILA KITU REFA KATOA KADI ZA KUTOSHA KWETU TU.

VIVA MCHEZAJI WA CONGO💪💪

LEO MATCH NA MOROCCO MCHEZAJI WA MORROCO KAMWAMBIA REFA WE NJAA SANA.
 
Unaposema Morocco ana Bebwa ainisha ana Bebwa eneo gani!! Kwenye kundi letu wote hatuna kiwango Cha Morocco.

Apa Afrika kulingana na takwimu za FIFA wao wanaongoza anaye fuatia yupo nafasi Saba nyuma yake ambaye ni Senegal.

Ata Germany Yuko Chini ya Morocco Sasa Aya mambo hayaji kwa bahati mbaya.
 
Takwimu za FIFA wakat kuna wakat Belgium alioongoza na hana chochote
 
Tuache majungu unaposema anabebwa lete fact ni sehemu zipi anabebwa? Kikosi cha moroko wote wanacheza professional football ulaya na sehemu zingine huko duniani unawezaje kujilinganisha na local players?
 
Ivi unawezaje ukawa namba Moja na huna chochote, izo point za kukupandisha unazipata kutokana na kushinda mechi na kulingana na mpinzani unaye cheza aye.
Kumbe kushinda match na huna chochote?

Yan wewe mfano unasoma na unafaulu mitihan ya ndani tu halaf necta una feli then usifike kua we ni Bora? Sa Lengo la kusoma litakua nini?
 
Wa morroco waarabu wanaojipendekeza kwa latin europe (spain,portugal) jamaa racists sana niliwaona maboya kipindi kile eti ushindi huu wa waarabu sio waafrika kwenye world cup wakiwa ulaya wanapotezewa sana na wengi ndio wanarudi kucheza morocco kama hakim ziyech kazaliwa holland ila akaona hapenyi holland ,robin van persie kaoa mmoroco mtoto wake ni footballer anataka acheze timu ya morroco holland ana nafasi anaitwa shaquel van persie they are just racists those people ndio maana wakikutana na weupe zaidi yao wanakuwa wanyonge
 
Jana wamepigika Wapuuzi hawa.
Tena afadhali kabisa waende huko na hoja zao za wao eti sio Africa shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom