Congo DR. Vilaza sana... Watachapwa leo mpaka wachakae....

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Sioni wanachocheza kiuhalisia.... Hamna team hapa. Huwa nashangaa wanavyoogopwa huku kwetu. Leo Morocco tunajipigia.
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
Wenzako wamepata kiwewe wanataka Morocco afungwe ili wajipe matumaini kuwa kwenye kundi point hazipishani sana hivyo Kisimkazi Stars bado wana nafasi.
 
Kwa standard ya Morocco ili wafungwe kwenye kundi letu Mungu aingilie kati ila si kwa uwezo wa hizi timu katika kundi letu.
 
Back
Top Bottom