Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

mkarimani feki

JF-Expert Member
Nov 8, 2023
302
1,136
Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia.

ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara.

Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.

Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
 
naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.

ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni,stress na uduchu wa mishahara.

hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.

Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
Duuuh!... Inamaana huelewagi kauli "heri kupata kitu kuliko kukosa kabisa"?

Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira,kula yao tu MUNGU anasimamia.

ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni,stress na uduchu wa mishahara.

hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.

Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
Watu wengi hudhani walimu pekee wana maslahi madogo ila kiuhalisia ukifanya kazi chiylni ya halmashauri basi lazima uisome namba
 
Back
Top Bottom