sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Candela

    JamiiForums Tanzania Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected. Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
  2. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Asilimia mia moja tunapita, ila kuna sharti dogo sana

    100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo, Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho...
  3. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana hii mechi yetu na Morocco, nimeumia sana na timu yetu ya taifa

    Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco. Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu. Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu Sana. Soma kwa makini ili uwe philosher kama wao

    Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema; Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazo la CHADEMA la kuwa na wabunge wawili kila jimbo si sahihi

    Hili ni moja la wazo la kipuuzi kupata kulisikia toka kwa kiongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. "Aina za Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna aina kadhaa za Wabunge kwa mujibu wa Ibara ya 66(1)(a) na (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ambapo ni kama ifuatavyo; Wabunge wa...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia inahitaji kuwa na mbabe mmoja tu ili iwe salama. Dunia ya wababe wengi ni hatari sana

    Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu. Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Picha hii imenigadhabisha sana

    kwa kweli Hawa jamaa wanatakiwa Leo kuuwawa!
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Duka la rejareja

    Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa. Asante.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa fedha kwa sasa ni kidogo sana

    Ndugu zangu kuna tatizo gani mzunguko wa fedha umekuwa ni kidogo sana. Biashara haziendi kabisa na kama vile biashara zimesimama kabisa. Kama nchi tunaelekea wapi?.
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia anasifiwa sana, tena anafanya mambo makubwa kimya kimya, ni yepi hayo?

    Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo, lazima uishinde njaa kwanza na ndipo utapata balansi ya fedha za kuanzisha vitu vingine kama kujenga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania VAR inathibitisha waamuzi wengi ni wabishi na zaidi wanafanya makosa sana katika maamuzi yao

    Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa yanayogharimu timu nyingi katika michezo mingi. Pia, inathibitisha kuwa wachezaji wanapomzonga refa, mara...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

    Imekuja na Watalii zaidi ya 2,000. Mama anafungua Nchi. #VisitTanzania#
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona yanayotokea pale Udart

    Nimesikitika tena nimesikitika sana nilipoona clip ikionyesha jinsi mabus ya UDART yalivyoachwa hovyo yakizama kwenye matope kwenye karakana ya UDART kisa uharibifu wa gearbox. Mhe. Waziri Mkuu anagomba kwa uchungu lakini wapi. UDART unaongozwa na PhD holder aliyetoka TRA na anayejua jinsi ya...
  15. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  16. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
  18. Fintan20

    JamiiForums Tanzania Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

    Wanajamvi kwema. Nilikuwa namsikiliza chino wana man 😂. Kitu ambacho kilimkata sana kipindi anajitafuta mpaka akalia. Anasema miaka hiyo kulikuwa sherehe, sasa mesen selekta akampgia simu akamuambia mdogo wangu chino njoo uwafundishe madancer(wachezaji). Chino akamwambia basi poa bro mimi...
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa Wazee ni Muhimu sana tuwanze wazee wetu

    Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe. Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili. Tuwape upendo wazee wetu,
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mlandege kawa mlasimba shirikisho nimewaelewa amani sana...

    Yaan best final ever ya mlandege Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona mlandege in... Singida akiingia anabeba kombe refa akapewa majukumu fanya ufanyalo hili boya...
Back
Top Bottom