Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,527
14,402
Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE).

Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale kipindi cha nyuma kulikuwa na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kisutu. Sasa kwa mbele kidogo upande wa kulia nikaona kuna duka la rejareja la Mhindi na pale nje kuna friji la Pepsi nikafika pale nikamsalimia yule Kanjibai yeye alikuwa ndani , baada ya kumsalimia nikafungua friji nikachukua soda ya Pepsi nikaifungua nikaanza kunywa nilipomaliza nikampa hela ya soda sh 700, Hee akanikomalia soda bei yake ni sh 2000.

Nikamtazama kwa mshangao sana nikamwambia nikilipa hiyo shiling 2000 utanipa na risiti ya EFD? Na yeye kwa kiswahili chake kibovu anakomaa anasema soda ni sh 2000. Nikamwambia kwanini, akaanza kuniambia utafungua vipi friji bila kuomba na kuuliza bei?

Hela akakataa kuipokea nikawa nimesimama naanza kujiuliza sasa hapa nafanyaje? Mara akaja mtoto wa Kihindi akatoa 1000 akachukua soda ya Pepsi na yeye, Duh nikawaona hawa Wabaguzi na akarudishiwa Chenji yake sikuona ni sh ngapi lakini zilikuwa ni sarafu. Nikamwambia yule Mhindi nachelewa Boss pokea hela na yeye akawa ananiambia kwanini umefungua friji bila kuomba na kwanini hujauliza bei?

Ikabidi nianze kuomba msamaha nikajua nitakuwa nitakuwa nimeharibu hapa. Baada ya muda kidogo akatokea Mzee wa Kiswahili huwa anawatengenezea maua yao yale ya kuvaa Shingoni na kubandika kwenye paji la uso nikamwelekeza situation ilivyokuwa, akamwambia yule Mhindi sijui ni maneno gani lakini baada ya kama dk 3 yule Mhindi akaniambia Nenda Bhana. Nilijiuliza maswali mengi sana mpaka muda huu najiuliza ni wapi na nnini nilichofanya kibaya?

Vilevile sijawahi kumuona Mhindi akinunua kitu kwenye duka la Mswahili.
 
Mkuu unaombaje msamaha wakati hujakosea?.

Au ndio kujishusha?.

Hupaswi kuendeshwa na mihemko au hisia za wengine, kama hujakosea na mtu anakomlia umekosea achana naye endelea na mambo mengine, sababu anajua kabisa hujakosea ila anaendeshwa tu na hisia au mihemko yake.

Ukiingia kwenye mtego wake atakudharau.
 
Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE).

Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale kipindi cha nyuma kulikuwa na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kisutu. Sasa kwa mbele kidogo upande wa kulia nikaona kuna duka la rejareja la Mhindi na pale nje kuna friji la Pepsi nikafika pale nikamsalimia yule Kanjibai yeye alikuwa ndani , baada ya kumsalimia nikafungua friji nikachukua soda ya Pepsi nikaifungua nikaanza kunywa nilipomaliza nikampa hela ya soda sh 700, Hee akanikomalia soda bei yake ni sh 2000.

Nikamtazama kwa mshangao sana nikamwambia nikilipa hiyo shiling 2000 utanipa na risiti ya EFD? Na yeye kwa kiswahili chake kibovu anakomaa anasema soda ni sh 2000. Nikamwambia kwanini, akaanza kuniambia utafungua vipi friji bila kuomba na kuuliza bei?

Hela akakataa kuipokea nikawa nimesimama naanza kujiuliza sasa hapa nafanyaje? Mara akaja mtoto wa Kihindi akatoa 1000 akachukua soda ya Pepsi na yeye, Duh nikawaona hawa Wabaguzi na akarudishiwa Chenji yake sikuona ni sh ngapi lakini zilikuwa ni sarafu. Nikamwambia yule Mhindi nachelewa Boss pokea hela na yeye akawa ananiambia kwanini umefungua friji bila kuomba na kwanini hujauliza bei?

Ikabidi nianze kuomba msamaha nikajua nitakuwa nitakuwa nimeharibu hapa. Baada ya muda kidogo akatokea Mzee wa Kiswahili huwa anawatengenezea maua yao yale ya kuvaa Shingoni na kubandika kwenye paji la uso nikamwelekeza situation ilivyokuwa, akamwambia yule Mhindi sijui ni maneno gani lakini baada ya kama dk 3 yule Mhindi akaniambia Nenda Bhana. Nilijiuliza maswali mengi sana mpaka muda huu najiuliza ni wapi na nnini nilichofanya kibaya?

Vilevile sijawahi kumuona Mhindi akinunua kitu kwenye duka la Mswahili.
Kaishakwambia kosa lako ni kufungua friji bila ruhusa! Hao watu huweka mashetwaini yao kwenye biashara na masharti juu yake! Hiko nyumba moja magomeni jamaa alipanga, moja ya masharti ni kwamba akija usiku wakati anaingia mlangoni na kwenye corridor kuelekea chumbani kwake lazima apige hodi! Siku moja akufanya hivyo asubuhi mwenyenyumba kaamka na nundu kibao usoni jamaa kaambiwa hama!
 
Earl Grey.
 
Neno msamaha unalitendea haki ndugu .
Mungu akuimarishe na uzidi kuwa hivyo itikia AMEN

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kaishakwambia kosa lako ni kufungua friji bila ruhusa! Hao watu huweka mashetwaini yao kwenye biashara na masharti juu yake! Hiko nyumba moja magomeni jamaa alipanga, moja ya masharti ni kwamba akija usiku wakati anaingia mlangoni na kwenye corridor kuelekea chumbani kwake lazima apige hodi! Siku moja akufanya hivyo asubuhi mwenyenyumba kaamka na nundu kibao usoni jamaa kaambiwa hama!
Nilishangaa sana na Mhindi alikuwa amebadirika kawa kama kala pilipili.
 
Kwa hiyo ulimpa tu Hi afu ukafungua friji ukajipigia soda kama upo home,yaani hata ile kusema nachukua soda hamna.
Itakua alijua ni madharau...mhindi mthenge tu huyo
Nadhani yule Kanji ana vipengele vinam possess , kwa kifupi ni Mthengeee mnooo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom