Picha: 50 cent apungua uzito, amekonda sana

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni.

20240123_131028.jpg


Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake uzito kumeibua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki kuhusu muonekano wake huo mpya.

ANGALIA PICHA HAPA
20240123_130948.jpg


20240123_130946.jpg


20240123_130943.jpg


20240123_130940.jpg


Written by Mjanja M1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom