sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

    Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana. Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi. Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi. Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa...
  2. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi. Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

    Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani ghetto Lili Kuwa full chafu utandu wa buibui mixer kukaribia kuunguza nyumba ya watu kwamba jiko LA gas...
  5. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Hii dunia kuna watu wamepinda sana

    duuuh kuna watu huwa wanaakili za wenyewe tu
  6. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  8. Marcy

    JamiiForums Tanzania Inauma sana na haivumiliki

    Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae. hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio...
  9. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa Mawazo (Stress) husababisha mtu kula sana na hatimaye kuongezeka uzito

    Je, ni kweli kuwa watu wenye stress hula sana na matokeo yake huwasababishia uzito kupita kiasi?
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

    Points zangu ni zifutazo 1. Pombe Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako 2. Mademu Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Best picture Womens Day, safi sana Polisi wanawake: chagua umpendaye!

    Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa. Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Methali za kisukuma ni "Konki" sana.

    Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma. Methali na Tafsiri Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi. Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu inukeni tukale vya wakulima, mvivu huishi kwa jasho la wenziwe. Mkono gumo gutatobaga buki: Mkono...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

    Mzuka wanajamvi! Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika. Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na wengi wao ni black American. Wanawake weusi warembo kuliko wanawake wote duniani wako marekani halafu...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  17. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

    Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango. Sasa mimi nilimwamini...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aliona mbali sana

    ... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020 "Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)." "Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

    Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
  20. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

    Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili Ushauri wangu kwa...
Back
Top Bottom