Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,577
44,814
Points zangu ni zifutazo

1. Pombe
Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako

2. Mademu
Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei elekezi umeamua Kuwapa 10000 au 15,au twenty. Binafsi sijawahi kumpa mwanamke 50000 eti nimkule tu ni heri ni Kajinyonge mwenyewe 🤳

3. Kamari
Hii kitu sio poa hasa Kwa sisi watia mizigo ya kwendA high stake. Huwa naweka laki Mara nyingi Sana hasa napokuwa na pesa zaidi ya million tano na kuendelea(watapinga watu kwamba najimwambafai Sina hela Hizo) ila uzuri wa Kubet style yangu ni kutia mizigo mikubwa kwenye odds Kwa timu Moja tu mfano Jana match ya NICE kufungwa alipewa odds 4 nikazifuata gal sport nikala laki nne ila pia nilimuua Barcelona nikaliwa kichwa so kamari ni hatari Sana unapokuwa na pesa nyingi kwani unashawishika kutia Hela nyingi na ukiliwa nyingi pia.
 
Pombe haifilisi kama hautakunywa kila siku au nyingi na inategemea na aina ya pombe.
Sasa vi desperado 6 mara moja kwa wiki ufilisike kweli?

Raha ya pombe bhana uwe na kampani. Yaani mimi kuliko nikanywa pombe mwenyewe bora nisinywe. Nikijisikia kunywa namtafuta rafiki yangu namtoa hata kama hana hata mia nitalipa.
 
Omera wanawake wanapuna Sana hela. Demu kwenda nae lodge elfu 15000 au 20. Ukimaliza umpe posho Kati ya 20,000 au 30,000. Bado menyu, kama anapiga tungi weka 15,000.
Zingatia wakati unaanzisha mahusiano lazima kuna vi hela vya hapa na pale utampa.
Hapo ukipiga hesabu kwa wazee WA kubet mikeka ya 200 , 500 au 1000 utatengeneza mikeka mingi Sana.
 
Pombe haifilisi kama hautakunywa kila siku au nyingi na inategemea na aina ya pombe.
Sasa vi desperado 6 mara moja kwa wiki ufilisike kweli?

Raha ya pombe bhana uwe na kampani. Yaani mimi kuliko nikanywa pombe mwenyewe bora nisinywe. Nikijisikia kunywa namtafuta rafiki yangu namtoa hata kama hana hata mia nitalipa.

Wachaga wanakunywa bia kila siku. Ila ndio wanaongoza kwa maendeleo mitaani ukiwapima na makabila mengine.

Makabila ya pwani hasa waislamu pombe hawanywi ila na bado maendeleo hawana mitaani
 
Pombe haifilisi kama hautakunywa kila siku au nyingi na inategemea na aina ya pombe.
Sasa vi desperado 6 mara moja kwa wiki ufilisike kweli?

Raha ya pombe bhana uwe na kampani. Yaani mimi kuliko nikanywa pombe mwenyewe bora nisinywe. Nikijisikia kunywa namtafuta rafiki yangu namtoa hata kama hana hata mia nitalipa.
Next time unitafute mimi madame
 
Ngoja nikurahisishie Swali.

Kipi kinamaliza pesa Sana Kati ya Wanawake, pombe na kamari..?

Chagua jibu sahihi.

A) Vyote
B) Option A
C) Option B
 
Points zangu ni zifutazo

1. Pombe
Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako

2. Mademu
Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei elekezi umeamua Kuwapa 10000 au 15,au twenty. Binafsi sijawahi kumpa mwanamke 50000 eti nimkule tu ni heri ni Kajinyonge mwenyewe

3. Kamari
Hii kitu sio poa hasa Kwa sisi watia mizigo ya kwendA high stake. Huwa naweka laki Mara nyingi Sana hasa napokuwa na pesa zaidi ya million tano na kuendelea(watapinga watu kwamba najimwambafai Sina hela Hizo) ila uzuri wa Kubet style yangu ni kutia mizigo mikubwa kwenye odds Kwa timu Moja tu mfano Jana match ya NICE kufungwa alipewa odds 4 nikazifuata gal sport nikala laki nne ila pia nilimuua Barcelona nikaliwa kichwa so kamari ni hatari Sana unapokuwa na pesa nyingi kwani unashawishika kutia Hela nyingi na ukiliwa nyingi pia.
Hivyo vyooooote vimekuwepo DUNIANI Kwa Ajili Yako Wewe Utafute Pesa Hakuan cha kumaliza pesa Wala Nini Tafuta Pesa.

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
 
Points zangu ni zifutazo

1. Pombe
Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako

2. Mademu
Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei elekezi umeamua Kuwapa 10000 au 15,au twenty. Binafsi sijawahi kumpa mwanamke 50000 eti nimkule tu ni heri ni Kajinyonge mwenyewe 🤳

3. Kamari
Hii kitu sio poa hasa Kwa sisi watia mizigo ya kwendA high stake. Huwa naweka laki Mara nyingi Sana hasa napokuwa na pesa zaidi ya million tano na kuendelea(watapinga watu kwamba najimwambafai Sina hela Hizo) ila uzuri wa Kubet style yangu ni kutia mizigo mikubwa kwenye odds Kwa timu Moja tu mfano Jana match ya NICE kufungwa alipewa odds 4 nikazifuata gal sport nikala laki nne ila pia nilimuua Barcelona nikaliwa kichwa so kamari ni hatari Sana unapokuwa na pesa nyingi kwani unashawishika kutia Hela nyingi na ukiliwa nyingi pia.
hao si mapacha watatu, ni ndugu wa damu, wanaopendana sana lakini pia huambatana sambamba bila mbambamba karibu kila mahali, halafu ulostishaji wao unafanana kichizi dah 🐒
 
Kamari, hivyo vingine vina return on investment kubwa, ila kamari ni 100% unaenda kutupa pesa yako.

Demu nikimuelewa sana dau la mwisho ni 50, bei elekezi ni 30.
Pombe nikichukua kreti yangu ya safari nakunywa wiki 2 nyumbani (Ijumaa na jumamosi), ila kama nataka kampani ya kwenda viwanja na wana budget ni 100K max per night.

NB: Tujuzane ile chimbo la 10k - 15k
 
Ili uipate pesa lazima ipotee...hivo ulivyo vitaja vyote naviishi....waiter zungusha tena...hapa nampa lyon...hapa loreint...hapa fulham apate goal...prison yapatikane magol mawil...huku namuua coastal...:dortmund win...man u win...luton apate goal...inter win...bayern win..natia 50,000...waiter...niitie na yule mrembo anipe kampani....
 
Back
Top Bottom