Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,144
4,493
Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho

Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili

Ushauri wangu kwa jinsi navyowaona vijana

Starehe za pombe na kubeti sio nzuri kwa vijana ambao ni bachela
 
Pombe na Bangi huwa zinasingiziwa vitu vingi sana, hao vijana mnaowazungumzia muwe mnapata wasaa wa kuwapima afya zao za akili kabla ya kuja na conclusive opinions.

Halafu huwa sijui mnapima mafanikio ya mtu kwa mizania gani, mwingine kufanikiwa kuwa hai tu ni mafanikio makubwa sana kwake

NB: Natumia Pombe, Bangi (mara kadhaaa), ila ni bachelor sugu pia.
 
Acha vijana wale maisha View attachment 2927285
JamiiForums1312488695.jpg
 
Vyanzo umevitaja unahisi itakua rahisi kwao kuviacha, ishauri serikali kupunguza kero za wananchi zinazosababisha ugumu wa maisha na kuongeza stress kwa vijana mpaka kuingia katika makundi mbalimbali ya kiuharifu, ulevi, mihadarati nk
 
Hapo mkuu umezungumzia maishà ambayo yapo Kwenye mfumo wa maishà ya kijana Kila cku n ngumu sana kushinda hvyo vishawishi km utajua nn unapambania ktk maisha
 
Asilimia kubwa hizo ndizo starehe za vijana ulimwenguni Kote cha msingi na cha kushauri kila kitu kifanyike Kwa kiasi na kwa wakati na serikali nayo ijitahidi kuwawekea na kuwekeza zaidi kwenye miundombinu Bora itakayo wapa nguvu katika shughuli zao za kiuchumi za kila siku Iwe za kujiajiri au kuajiriwa ili waendelee kunywa Kwa Furaha na afya na Si kunywa Kwa stresi!!
 
Tusipangiane.... My money my Rules...

Utakuta na mvi zako hujafanya lolote la maana... Upo kwa mkwe wako unakuna pumbu na kutoa laana...
 
Vyanzo umevitaja unahisi itakua rahisi kwao kuviacha, ishauri serikali kupunguza kero za wananchi zinazosababisha ugumu wa maisha na kuongeza stress kwa vijana mpaka kuingia katika makundi mbalimbali ya kiuharifu, ulevi, mihadarati nk
Ni kweli kabisa ila ndio hivyo kijana bachela mwenye stress hawezi kunywa kiwango kinachotakiwa suluhu nikuacha kunywa pombe
 
Pombe na Bangi huwa zinasingiziwa vitu vingi sana, hao vijana mnaowazungumzia muwe mnapata wasaa wa kuwapima afya zao za akili kabla ya kuja na conclusive opinions.

Halafu huwa sijui mnapima mafanikio ya mtu kwa mizania gani, mwingine kufanikiwa kuwa hai tu ni mafanikio makubwa sana kwake

NB: Natumia Pombe, Bangi (mara kadhaaa), ila ni bachelor sugu pia.
Punguza kimoja bas mkuu
 
Mbona hujaandika mizagamuano, kwan hujui zinaa inawapotezea pesa sana vijana, bajeti ya zinaa ya kawaida tuu sio chini ya 50k
 
Starehe za pombe na kubeti sio nzuri kwa vijana ambao ni bachela
Kwa hiyo hayo uliyoyataja ni mazuri kwa waliooa? Hivi unajua mwezi uliopita serikali imeingia zaidi ya billion 700 kama mapato kutokana na kubeti? Je unataka vijana wasiwe sehemu ya kuchangia mapato ya serikali yao na kudumaza utoaji wa huduma na wasiwe na nafasi ya kupaza sauti pale serikali inapozembea kusimamia ugawanyaji wa huduma muhimu kutokana na mapato? Jambo uliloliongea lina effect kubwa kwenye jamii.
SEMA KILA KITU KIFANYIKE KWA KIASI HAPO UTAELEWEKA.
 
Back
Top Bottom