Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,716
29,072
Mzuka wanajamvi!

Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika.

Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na wengi wao ni black American. Wanawake weusi warembo kuliko wanawake wote duniani wako marekani halafu south Africa.

Ni ya moyoni tu wanajamvi!

Kimberly_McCarthy.jpg


20240308_184823.jpg
 
Back
Top Bottom