Mzee Kikwete aliona mbali sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,238
22,661
... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020

"Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)."

"Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda mfupi na nyie mtaiba"

"Hili la Kuibiana wachezaji halikuanza kwa Morrison, limeanza enzi na enzi, ndio maisha yetu ya klabu za Simba na Yanga "

"Kama wamewaibia Morrison na nyie tafuteni wakuiba"

©️ Mh. Jakaya Kikwete.
Rais mstaafu wa Tanzania

Nb: maelezo hayahusiani na na mtu yeyote
 
Back
Top Bottom