Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,224
- 12,729
Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma.
Methali na Tafsiri
Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi.
Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu inukeni tukale vya wakulima, mvivu huishi kwa jasho la wenziwe.
Mkono gumo gutatobaga buki: Mkono mmoja hauchoti asali.
Kikome shahalali shitazengaga: Mji wenye upinzani, haustawi.
Ntale imilile: Mtu ni mkubwa akiwa anasimama.
Yikangilaga ilina buki: Nyuki huuma ovyo wakati wakiwa na asali.
Uyo asusilve mbeho atitanilagwa moto: Mtu akiwa na baridi, hangojei kuitwa asogee karibu kuota moto.
Mino gape guti moyo: Meno meupe siyo moyo: kuchekacheka na kuonyesha meno si lazima kuwe ni dalili ya mtu mzuri.
Njika magembe akibaga, wajika wakwe atibaga: Mtu aliyezika majembe husahau, lakini aliyezika ndugu yake hasahau.
Ng'ahabi uwacha: Maskini hasa ni mtu aliyekufa.
Ng'wana nogu akalyaga nakabisile: Mtoto mtii hula vizuri vingi, hata vilivyofichwa.
Ntale ukunshiga ng 'wigamu nomo utakashinga: Mzee unaweza kumshinda mbio; humshindi kwa hekima.
Nhung 'wa itabulagagwa: Aliyetumwa hauawi.
Ngalili akading'wa bulogo: Mtenda mema huitwa mchawi (hulipwa maovu).
Ak’ vambaga makono atabulagagwa: Aombaye msamaha hauawi.
Kimala milimo akacha atatola: Aliyependa kumaliza kazi zote zake, alikufa bila kuoa.
Yelelaga miso, utizuyelela lulimi: Tembelea macho, usitembe- lee ulimi.
Yela ubone: Tembea uone.
Nda italumbaga: Tumbo halishukuru.
Butambi wa ng'wayo ubutu buzwalila shilungu: Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Akalemela mbasa sumvua na nyabahanda: Shoka limeshindwa kukata sembuse mundu?
Kutu kutina ng 'habi: Sikio halina maskini. (Mtu akiwa si kiziwi, husikia sawa na mwingine, ingawa yeye ni tajiri au maskini.)
Ngunda gwa kumhelo ishikilo shilili: Shamba lililo pembeni hushambuliwa kila mara na wanyama na wadudu wabaya.
Chubuka ikoba, utizuchubuka bongo: Chubuka ngozi, usichubuke ubongo.
Buli munda butisalamagwa: Chakula kilichomo tumboni huwezi ukamgawia mwenzio hata kama anakufa.
Gembe akabyalaga ibu: Mpingo huzaa jivu.