The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake.
Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune.
Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
My Take
Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu.
Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha.
Mjumbe Hauwawi...
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.
Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.
Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.
Why postpone his case?
Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Zanzibar Hassan Khamis Hafidh, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Vijana katika Baraza la Wawakilishi Juni 6, 2026, alisema licha ya kuwepo kwa hoteli 1,184 zilizosajiliwa Zanzibar, idadi kubwa ya wafanyakazi katika baadhi ya...
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa...
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa
Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka
Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita
Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya.
Sifa kuu za Toyota Rush
Injini ya petroli ya 1.5L
Ina uwezo wa kubeba abiria 7
Ground clearance kubwa (huisaidia...
Mpo salama Wakuu!
Leo acheni tuu! Msinione nimekuja nimenyong'onyea. Mambo niliyokutana nayo yanaumiza Sana.
Mara ya mwisho kulia machozi ni kwenye Msiba wa Bibi Yangu Kipenzi. Mwaka Juzi yaani miaka miwili iliyopita.
Mimi ni wale wanaume tunaoamini Mwanaume hapaswi kulia. Na ikitokea Amelia...
Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende.
kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha...
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....
Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA
Watu wakaanza...
Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa.
Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi...
Kila siku maelfu ya simu hupata matatizo kama screen kuvunjika, kushindwa kuwaka, matatizo ya kuchaji, software errors na hitilafu za motherboard. Hii imeifanya fani ya ukarabati wa simu kuwa moja ya fursa kubwa za kujiajiri na kujipatia kipato. Mafunzo ya mobile repair kwa kawaida hujumuisha...
Watu wa humu mpo .?
Humu wengi sana mnaonekana mnahamu ya mapenzi na wapenzi wenyewe hamna wanaoeleweka .
Kama huna je upo tayari kulea au kuishi maisha ya kawaida upewe watoto wa elfu mbili wakuoe wakupige mashine mpaka uache kuja huku kujiabisha .
Au tukupe mchongo wa kwenda kwa siri nyumba...
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.
Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.
Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
Guys
Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake.
Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana.
Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...