Watanzania tunaabudu sana viongozi, inatumaliza

annetta

Member
Joined
Dec 3, 2025
Posts
62
Reaction score
155
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.

Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....

Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA

Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."

Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!

Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????

CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?

Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....

Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
 
Haya mambo yanapangwa. Ni kama michezo ya kuigiza. CCM ndiyo mambo wamebakiwa nayo wanayoweza kuyafanya kwa ustadi. Unajua social media zimefanya watu wasio wadadisi rahisi sana kupotoshwa.
 
Haya mambo yanapangwa. Ni kama michezo ya kuigiza.

Daaaah... yani kila kitu kimepangwa ?

Basi na utekaji nao umepangwa! Tusi deny reality kama watu wa CCM, polisi na serikali

Yani wale waliosimama wameegemea jiwe la msingi kwenye tawi la CHADEMA walikuwa ni ma agenti wa CCM... CHADEMA walikuwa wapi siku hiyo hapo mtaani ambapo na tawi wanalo ???

Asiwepo hata mmoja kati ya kijiwe kile wa kumjibu wee Kenani sepa bana wewee! Au CCM waliwapanga wananchi mtaa mzima ?

Tukubali madhaifu yetu, tuyafanyie kazi. Tuache kuabudu viongozi.
 
Wewe ni mgeni kwenye siasa za Tanzania? Au ni wale watu wanaodhani siasa ni kwa wanasiasa? Yaani hujui kabisa ziara za wanaojiita katibu mwenezi wa CCM zinakuaje? Mimi nazungumzia kitu ninachokijua. Halafu usivyojua siasa zinakwendaje unasema ''tukubali madhaifu yetu'' Wanani wakubali? Hata kama nakubaliana na maelezo yako kuwa hawa watu wanapenda CCM, huo ni udhaifu wa CHADEMA?
 
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.

Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....

Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA

Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."

Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!

Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????

CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?

Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....

Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
huo ni ushirikina gentleman, wa kuabudiwa ni Mungu pekee.

hizo porojo zingine ni useless 🐒
 
Ni rahisi sana kwa mazingira ya kisiasa yaliyopo kwa sasa CCM kuigiza kwenye tawi la Chadema kuliko Chadema kuigiza kwenye tawi la CCM, CCM wanaigiza wakijua kuna support ya wasiojulikana upande wao.

Unaweza kuwazomea hao baadae usiku wasiojulikana waje kukutembelea nyumbani kwako, watu tumeona hii michezo ikichezwa sana, wengine kuishia kupigwa na kuumizwa kisa kuzomea msafara wa kiongozi wa CCM.

Kwa upande mwingine pia naweza kubaliana na hoja yako kwa baadhi ya makundi ya watu. Nimeshuhudia bodaboda wakilipwa mafuta na viongozi wa CCM wahudhurie misafara yao, at the same time boda hao hao wamekuwa wakijitokeza kwenye mikutano ya Chadema.

Hapo ni sawa na kusema, boda wanajua maslahi yao yako wapi na mioyo yao iko wapi, ndio maana nahisi hata hao waliokuwa wakishangilia hapo kwenye tawi la Chadema inawezekana kabisa wamenunuliwa.
 
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.

Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....

Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA

Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."

Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!

Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????

CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?

Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....

Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
Uduni wa Elimu... Imefikia kipindi nachukia maneno Doctor na Mheshimiwa
 
Daaaah... yani kila kitu kimepangwa ?

Basi na utekaji nao umepangwa! Tusi deny reality kama watu wa CCM, polisi na serikali

Yani wale waliosimama wameegemea jiwe la msingi kwenye tawi la CHADEMA walikuwa ni ma agenti wa CCM... CHADEMA walikuwa wapi siku hiyo hapo mtaani ambapo na tawi wanalo ???

Asiwepo hata mmoja kati ya kijiwe kile wa kumjibu wee Kenani sepa bana wewee! Au CCM waliwapanga wananchi mtaa mzima ?

Tukubali madhaifu yetu, tuyafanyie kazi. Tuache kuabudu viongozi.
Yaani umeshindwa kujua kuwa hilo ni igizo la kitoto? Kiuhalisia ni nani anakaa hapo kwenye hiyo bendera? Hapo ni ofisini, ama kuna shughuli yoyote inaendelea hapo hadi Kihongosi afike hapo akute wanacdm awaite kwenye mkutano?
 
Back
Top Bottom