Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

encyclopaedia Tanzaree

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
513
397
Habari zenu wanajamvi
Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika.

Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki fresh za ziwa Victoria zilizochemshwa na nikaendelea kula zilizokaangwa na zilizobanikwa. Kadri muda ulivyoenda nikashindwa kula hadi hizo za kubanika na kukaanga.

Miaka kadhaa iliyopita nilisafiri hadi Dar es Salaam na nikasema nijaribu samaki wa maji chumvi kwa kuhisi kwamba za maji baridi huenda ndio kikwazo kwangu. Cha kushangaza hata hizo za maji chumvi vilevile zikanishinda.

Sielewi nifanye nini ili niweze kula samaki kama awali?

NIKILA SAMAKI TU NASIKIA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA JUU. NAOMBA USHAURI WENU, NINI NIFANYE NIWEZE KULA SAMAKI KAMA ZAMANI.

*Natanguliza shukrani.
 
Tatizo kama hilo dada yangu analo sema yeye hali samaki wa maji chumvi kabisa na hata wa maji baridi ni mpaka wawe wamekaangwa kwanza ila wakuchemsha
Utamuua.

Ushauri.
Kubali matokeo maana samaki na dagaa sio chakula pekee kinachomfanya mwanadamu aishi.
Mfano kuna watu hawali nyama ya aina yoyote na maisha ni safi tu.
 
Habari zenu wanajamvi.
Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika.

Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki fresh za ziwa Victoria zilizochemshwa na nikaendelea kula zilizokaangwa na zilizobanikwa. Kadri muda ulivyoenda nikashindwa kula hadi hizo za kubanika na kukaanga.
Miaka kadhaa iliyopita nilisafiri hadi Dar es salaam na nikasema nijaribu samaki wa maji chumvi kwa kuhisi kwamba za maji baridi huenda ndio kikwazo kwangu. Cha kushangaza hata hizo za maji chumvi vilevile zikanishinda. Sielewi nifanye nini ili niweze kula samaki kama awali?
NIKILA SAMAKI TU NASIKIA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA JUU. NAOMBA USHAURI WENU, NINI NIFANYE NIWEZE KULA SAMAKI KAMA ZAMANI.
*Natanguliza shukrani.
Kama vinakuletea madhara acha tu,siyo lazima ule.Vyakula vipo vingi tu mbona vizuri?
 
Tatizo kama hilo dada yangu analo sema yeye hali samaki wa maji chumvi kabisa na hata wa maji baridi ni mpaka wawe wamekaangwa kwanza ila wakuchemsha
Utamuua.

Ushauri.
Kubali matokeo maana samaki na dagaa sio chakula pekee kinachomfanya mwanadamu aishi.
Mfano kuna watu hawali nyama ya aina yoyote na maisha ni safi tu.
Asante sana kwa ushauri. kinachonipa shida ni kwamba, samaki na dagaa ndio mboga zinazopatikana kwa urahisi mahali ninapoishi.
 
Tatizo kama hilo dada yangu analo sema yeye hali samaki wa maji chumvi kabisa na hata wa maji baridi ni mpaka wawe wamekaangwa kwanza ila wakuchemsha
Utamuua.

Ushauri.
Kubali matokeo maana samaki na dagaa sio chakula pekee kinachomfanya mwanadamu aishi.
Mfano kuna watu hawali nyama ya aina yoyote na maisha ni safi tu.
Mbadala wa samaki na dagaa ni vyakula gani nitumie?
 
Back
Top Bottom