saa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  3. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

    Tulikotoka Ujenzi wa daraja hilo lililopewa jina la Mfugale ulioanza miaka miwili iliyopita umegharimu Sh bilioni 92 hadi kukamilika kwake, huku Serikali ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la nchi hiyo (JICA) likichangia Sh bilioni 26. Jina la Mfugale limetokana na jina la Ofisa Mtendaji...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

    =======
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mteule, Dkt. Philip Mpango kuapishwa, Machi 31 saa 9 alasiri - Dodoma

  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  7. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Unavaa saa mkono gani?

    Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa. Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu pia anavaa mkono wa kushoto na anaigeuza sehemu ya kuangalia mda inakuwa kiganjani, huangalia muda...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

    Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho. Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwizi aliyekuja kuiba saa tisa usiku

    Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza. Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu, tukasikia tena kelele zikitokea kwenye nyumba jirani, mwizi huyo anaruka kaiba simu!!!! Majirani...
  10. J

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Hii ni habari njema kabisa kwa shirika letu la ndege. Mkurugenzi mkuu wa ATCL amesema shirika lake litaanza safari za China tarehe 20 mwezi huu. Bwana Matindi amesema wasafiri watalazimika kupima Corona mara mbili katika muda wa saa 48 kabla ya kuanza safari. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

    Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara na Wasafirishaji wagoma Songea wakitaka kuonana na viongozi wa mkoa, DC Cosmas atoa saa 24

    Wafanyabiashara na wasafirishaji wa Songea mjini wamegoma wakitaka kukutana na viongozi wa mkoa ili kutatua changamoto zinazowakabili. Wafanyabiashara hao wamedai wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na mitaji yao inazidi kufa. Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka...
  14. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mcheza soka aliyesimamisha mapigano kwa saa 48

    Pelé, ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento, (alizaliwa Oktoba 23, 1940, Três Corações, Brazil), alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil, wakati wake labda ndiye mwamichezo maarufu zaidi na labda anayelipwa zaidi duniani kwa wakati ule. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na wizi wa kifurushi cha siku: Hayatimii masaa 24, hata ukijiunga saa 11:00 jioni ikifika saa 10:59 jioni ya siku hiyohiyo kifurushi kinaisha

    Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo. Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kijiji ampa raia adhabu kwa saa mbili hadi ujauzito kuharibika

    Asha Rajabu(28) mkazi wa kijiji cha Samanga Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amesimulia namna alivyorukishwa kichurachura na mwenyekiti wa kijiji hicho, kwa madai ya kuchelewa kufunga baa na kusababisha ujauzito wake wa miezi miwili kuharibika. Mwenyekiti huyo, Wilfredy Minja kwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini itabadili muda kwa saa 1 kwa kuhama ‘time zone’

    Sudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa Kazi Hillary Wani Pitia amesema kijiografia UTC +2 ndio sahihi kwa Sudan Kusini. Nchi inaweza kuseti...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa mujibu wa Sheria, viraka vya barabarani vinapaswa kuzibwa ndani ya saa 48

    Najiuliza kama sheria inasema hivi, inakuwaje viraka vingine huwa vinaachwa kwa muda mrefu mpaka vinageuka kuwa mashimo makubwa yasiyopitika.. Mfano mzuri barabara ya Keko ============= Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB)...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda. Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baba mbaroni kwa kumuua kwa kipigo mwanaye aliyeenda kutembea bila kuomba ruhusa na kurudi saa tisa alasiri

    Jeshi la polisi mkoani Kagera, linamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baada ya uchunguzi ilibainika kuwa alimvunja shingo na uti wa mgongo. Kamanda wa polisi mkoani Kagera...
Back
Top Bottom