saa

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Marudio ya Hamza Kassongo on Sunday Jumamosi 2 Januari 2021 saa tisa mchana anazungumza na Mohamed Said

    HAMZA KASONGO ON SUNDAY MAZUNGUMZO NA MOHAMED SAID KITARUDIWA JUMAMOSI 2 JANUARI 2021 SAA TISA MCHANA Marudio ya "Hamza Kassongo on Sunday," TVE kitarushwa In Shaa Allah Jumamosi ijayo saa tisa mchana mada ni "Mchakato wa Uhuru." Kipindi cha saa nzima tunazungumza historia ya kujikomboa kwa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

    Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni. Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mikusanyiko ya usiku kucha katika maeneo ya wazi Desemba 31

  4. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nimepata jeraha nusu saa imepita sasa

    Habari za humu ndugu zangu, Usiku wa leo nimepata jeraha baada ya kuchimwa na msumali mguu wa kushoto. Msumali unakutu. Kitu cha kwanza nimefikiria kesho niende hospital kwa ajili ya sindano ya tetenus, lakini mwaka huu mwezi wa 7 nimechoma sindano ya tetenus mara mbili. Je, kuna haja ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

    Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa Usisahau kumtaarifu mwenzako Tuna Jambo Letu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  7. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Habarini. Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri. Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi. Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
  8. Iwensanto

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu. “BAVICHA...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: CHADEMA na ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya Uchaguzi wala kushiriki kwenye Bunge

    LISSU(Opening Remarks) Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani kufanya hivyo itakuwa kukubali utapeli huu wa demokrasia Japokuwa kukata tamaa, kushusha ari na hasira...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

    TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania. ===== Dear...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika ====...
  13. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Saa 6 usiku inatumika

    Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima. Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na dada yake. Sasa mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na...
  14. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 23 wafariki ndani ya saa 24 kwa Corona, Jumla ya waliokufa ni zaidi ya 1,200

    Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuzimia kimya kimya, inasemekana kuanzia saa 6 na dakika 1 usiku wa leo mnatuwashia. Mimi nahitaji majibu ya maswali yangu

    Je, 1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower? 2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower? 3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania? 4...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, ZEC na CCM hili tamko linasubiriwa na Watanzania wote. Mnatoa saa ngapi?

    Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka Jana saa tano usiku CCM waliendelea na vikao vya kuwahakiki wapiga kura wao

    Hii ni katika maeneo machache niliyofanikiwa kupitapita katika viunga vya jiji la DAR hasa kwenye ofisi nyingi za ccm, tofauti kabisa na hali kwenye Ofisi za Wapinzani ambako zilikua zimefungwa makufuli. Pamoja na kutuhumiwa na wapinzani kwa kucheza rafu kwenye chaguzi mbalimbali, utamaduni huu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa

    Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga. Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CHADEMA...
  20. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom