Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi.
Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana.
Yaani ikitokea...
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema
“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Inasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini.
kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana...
Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita
Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19
Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
Nitasema kwelii.
Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku.
Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi?
SALE SALE SALE
Sofa la mmoja ni 30000
Sofa la wawili ni 44,000
Sofa la watatu ni 54,000
●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo
1: Hazipauki wala kuchuja...
MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI
BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA
MALUMBANO YA HOJA
KATIKA TELEVISION YA ITV
SAA 3:00 USIKU
KESHO SIKU YA ALHAMIS
USIKOSE KUFATILIA
Hapo vipi,
Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.
Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.
Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa.
Wataalam tafsiri yake nini.
Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo.
Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini.
Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika.
Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni.
Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?”
Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...
Kwa siku tatu mfululizo sayari ya Jupiter imekuwa ikionekana mida ya saa tisa usiku (alfajiri?) Katika anga la sayari ya dunia.
Amka leo saa tisa usiku Kisha tazama uelekeo linapo toka jua kwa juu yake kidogo utaiona Sayari ya Jupiter ina n'gaa . Inatoa mwanga wa rangi ya njano kama jezi za...
Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Updates
Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia sababu Utopolo
Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku
====
TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku.
TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni...
Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote.
Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla.
Ramadhan kareem!
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.