Waziri Mkuu wa Malta Joseph Muscat, nchi ambayo haijawahi kuwa na maandamano wala mkwamo wa kisiasa na ambaye amekuwa akipendwa pomoni ametupiwa mayai viza, yeye na wapambe wake na waandamanaji baada ya kugundulika kwamba alihusika kumuua mwandishi wa habari za kichunguzi mwanamama Daphne...
Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo.
Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
Chukulia mfano umeenda bar, tena umelipa kiingilio, ukaagiza bia moja baridi kisha ukaanzwa kuinywa taratiiibu kwa raha zako, halafu baada ya nusu saa unaambia bia yako ime-expire kwahiyo tunaiondoa na unatakiwa ununue nyingine, la sivyo pisha kiti akae mtu mwingine.
Hilo linaweza likawa ni...
Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini.
Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy?
Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
Habari wakuu?
Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar?
1. Casio illuminator W-96H
2. Casio Telememo illuminator AW-81
Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k
kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.