Sudan Kusini itabadili muda kwa saa 1 kwa kuhama ‘time zone’

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Sudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki

Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa Kazi Hillary Wani Pitia amesema kijiografia UTC +2 ndio sahihi kwa Sudan Kusini.

Nchi inaweza kuseti muda wake kutokana na sababu za kisiasa ili kufanana na majirani zake. Sudan Kusini watafanana muda na DR Congo, Rwanda, Burundi, Afrika Kusini na Misri.

Mabadiliko ya Muda yamepitishwa na Baraza la Mawaziri wiki mbili zilizopita, japo raia walikosoa hatua hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
===
South Sudan plans to reset its clock, moving back one hour on February 1.

The change, which moves the country an hour behind its key trading partners Uganda and Kenya, is meant to align it to the time zone based on its geographical location.

“The National Ministry of Labour informs all the civil service institutions, commissions, diplomatic missions, UN agencies, international/non-governmental organisations and the public at large that South Sudan has changed its official time from UTC +3 to UTC +2, which is based on South Sudan’s real location on the globe,” the Labour undersecretary Mary Hillary Wani Pitia said in statement on Friday.

The Coordinated Universal Time (UTC) is a time standard by which the world regulates clocks and time. It is often interchanged with Greenwich Mean Time (GMT), but while there is no time difference between UTC and GMT, the latter is a time zone used in some European and African countries.

The dateline – an imaginary longitude 180o that runs from pole to pole – zig zags east and west to accommodate the needs and demands of countries along its route. Most countries use hourly offsets from GMT.

Countries can, however, set their own time for political reasons or to keep the same time zone with border countries.

The switch by South Sudan will see it move from the East African time zone (GMT +3) – observed by Uganda, Kenya, Ethiopia, Tanzania, Somalia, Eritrea, and Djibouti – to the Central African time zone (GMT +2).

Some of the countries in this time zone include Sudan, eastern Democratic Republic of Congo, Rwanda, Burundi, South Africa and Egypt.

“The current time will be set back by one hour, meaning 1:00 am will be reset to 00:00 am effective from 1st February 2021,” said Ms Pitia.

The change was approved by South Sudan’s Cabinet two weeks ago but came under heavy criticism by citizens on social media.

The government spokesperson, Michael Makuei Lueth, said the country has not been using its real time.
 
Kumbe hii time zone ni kujiamulia tu.sio kulingana na mahali nchi imekaa kwenye latitude
The change, which moves the country an hour behind its key trading partners Uganda and Kenya, is meant to align it to the time zone based on its geographical location.

umeielewa iyo statement?
 
The change, which moves the country an hour behind its key trading partners Uganda and Kenya, is meant to align it to the time zone based on its geographical location.

umeielewa iyo statement?
Mabadiliko hayo, ambayo yanairudisha nchi saa moja nyuma ya washirika wake muhimu wa kibiashara Uganda na Kenya, inamaanisha kuiweka sawa na eneo la wakati kulingana na eneo lake la kijiografia.

Kwa msaada wa Google Translator, Kiinglishi kigumu sana wazee!
 
Jamanie, inaitwa time zone, maana ya neno zone ni eneo pana, hakuna mstari mwembamba kama tunavyotaka kuamini kuwa tuko 45 degrees , mfano, Kigoma ukiangalia mapambazuko na machweo yake utagundua wanastahili kukaa zone moja na Burundi.
 
Upo 45 degrees? Inawezekana vipi? Yaani nchi nzima iwe ndani ya 45 degrees? basi leo nimegundua kuwa sijui Geography
Basi muda wa Dar na Kigoma utofautiane kama muda wa jua kuchomoza au kuzama unavyotofautiana.

Nilichojifunza kuanzia Shule ya msingi(Maarifa ya Jamii) hadi Sekondari(Geography), saa zinatofautiana kwa kila 15°.

Kila sehemu iliyopo degree fulani, mathalani sisi(45°) muda wake utakuwa sawa, ndio maana jua linawahi kuchomoza Dar na kuchelewa Kigoma lakini muda ubaki ule ule Dar na kigoma(kama ni saa moja Dar, na kigoma ni hivyo hivyo hata kama bado giza Kigoma).

Ndivyo hivyo nilijifunza muda unapangwa kulingana na Longitude ya sehemu husika, ambapo Afrika Mashariki ipo Longitude 45° Mashariki mwa Longitude kuu(Greenwich, 0° iliyopo Ghana).

Sasa unapohoji nchi kuwa kwenye degree 45°, ebu nifafanulie wewe unahisi ipo kwenye degree ipi na ipi maana mimi nilijifunza ipo degree 45° ambapo ndio tunapohesabia masaa yetu(Kijografia, ingawa kisiasa nimeisikia leo)
 
Basi muda wa Dar na Kigoma utofautiane kama muda wa jua kuchomoza au kuzama unavyotofautiana.

Nilichojifunza kuanzia Shule ya msingi(Maarifa ya Jamii) hadi Sekondari(Geography), saa zinayofautiana kwa kila 15°.

Kila sehemu iliyopo degree fulani, mathalani sisi(45°) muda wake utakuwa sawa, ndio maana jua linawahi kuchomoza Dar na kuchelewa Kigoma lakini muda ubaki ule ule Dar na kigoma(kama ni saa moja Dar, na kigoma ni hivyo hivyo hata kama bado giza Kigoma).

Ndivyo hivyo nilijifunza muda unapangwa kulingana na Longitude ya sehemu husika, ambapo Afrika Mashariki ipo Longitude 45° Mashariki mwa Longitude kuu(Greenwich, 0° iliyopo Ghana).

Sasa unapohoji nchi kuwa kwenye degree 45°, ebu nifafanulie wewe unahisi ipo kwenye degree ipi na ipi maana mimi nilijifunza ipo degree 45° ambapo ndio tunapohesabia masaa yetu(Kijografia, ingawa kisiasa nimeisikia leo)
Hata Dar na Bukoba unatofautiana, ukiwa Bukoba saa 12 bado giza kabisa ila Dar tayari kumekucha, Halafu saa kumi na mbili jioni bado kuna mwanga wakati Dar giza lishaanza nyemelea
 
Hata dar na Bukoba unatofautiana, ukiwa Bukoba saa 12 bado giza kabisa ila Dar tayari kumekucha, Halafu saa kumi na mbili jioni bado kuna mwanga wakati dar giza lishaanza nyemelea
Ndio Jiografia inatakiwa izingatiwe walau tutofautiane hata kwa dakika tu
 
Kwa sasa nchi kubwa kama Marekani ndio yenye Time zones tofauti, kigezo cha Kijiografia ndio kizuri
Hata mimi naona inabidi iingatie Jiografia ila China walifanya hivyo kwakuwa ilikuwa ianleta mkanyiko wakaamua basi sehemu zote zitakuwa na muda sawa na Beijing
 
Back
Top Bottom