Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa.
Source Umoja Tv!
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020.
Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10
Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.
Toka kampeni zianze ni...
==========
Three persons accused of commissioning a terrorist attack at Westgate Mall in Westlands, Nairobi, in September 2013, will know their fate today.
The sentencing comes seven years after the attack that killed 67 people and left scores injured scores marking the end of the long wait...
Kwa mujibu wa Tumaini Makene:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
Wakuu heshima sana,
Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.
Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea.
Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na...
Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila...
Serikali imejenga miradi mikubwa ya maji safi na salama katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na kufanikiwa kumaliza tatizo la ukosefu wa maji wilayani humo.
Miradi hiyo imejengwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ambaye kwa...
Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.
Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
17 Agosti 2020
Bunda Mjini
Tanzania
ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
Sijajua kuna nini hasa, ila tusubiri tu mpaka saa kumi na moja jioni. Wale wa Mtaa wa Pili kama unajijua una Presha za hapa na pale basi agiza kabisa vidonge ukae na maji tayari tayari.
Pia angalieni salio la bando lisije kua linaisha kabla ya muda huo mkakosa vitu. Yangu Ni hayo tu.
UPDATES,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.