Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari.
Siku akinipikia wali nyama, wao...